Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kidato cha 4 kuanza mtihani leo

WATAHINIWA 448,358 wa shule na wa kujitegemea wanatarajia kufanya mtihani wa kumaliza Kidato cha Nne unaotarajia kuanza kufanyika leo nchi nzima.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mtihani mpya kidato cha 4

WANAFUNZI wa Kidato cha Nne, watafanya mitihani miwili ya Taifa mwaka huu, baada ya kuongezwa mtihani wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), ambao utatumika kuwapima walivyojiandaa na Mtihani wa Taifa wa Kumaliza Elimu ya Sekondari.

 

9 years ago

Habarileo

800 wafanya mtihani kidato cha 4

WANAFUNZI 831 wa shule za sekondari Mjini Lindi mkoani humo, wanafanya mtihani wa kumaliza kidato cha nne mwaka huu. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Jumaary Satura aliyasema hayo jana wakati alipokuwa akizungumza na HabariLeo mjini hapa.

 

10 years ago

Habarileo

Mtihani Kidato cha Nne Jumatatu

MTIHANI wa Taifa wa Kidato cha Nne na Mtihani wa Maarifa wa mwaka 2014 unatarajiwa kufanyika nchini kote kwa takribani siku 20 kuanza keshokutwa huku idadi ya watahiniwa ikiwa pungufu ikilinganishwa na watahiniwa wa mwaka jana.

 

10 years ago

Michuzi

Tangazo la Mtihani wa Kidato cha Nne 2015

Link ya Matokeo:

KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2014 BOFYA HAPA




Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la
Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde.Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwatangazia watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato Cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) Mwezi Novemba 2015 kwamba usajili umeanza rasmi tarehe 01 Januari 2015. 
Watahiniwa watakaojisajili katika kipindi cha kawaida yaani tarehe 01 Januari 2015 hadi 28 Februari 2015...

 

10 years ago

Mwananchi

Kidato cha nne waanza mtihani wa Taifa

Wanafunzi 297,488 wa kidato cha nne wanaanza mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari utakaokamilika baada ya siku 20, huku watahiniwa wakionywa kujiepusha na vitendo vya udanganyifu.

 

10 years ago

Mtanzania

Mtihani wa Pinda kuanza leo Dodoma

PINDANa Debora Sanja, Dodoma
VIKAO vya Bunge la Bajeti ya mwaka 2015/16 vinaanza leo Dodoma huku Ofisi ya Waziri Mkuu ikiwa ya kwanza kuwasilisha bajeti yake.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Bunge, mkutano huo wa 20 Bunge unatarajiwa kuanza leo hadi Juni 27 mwaka huu ambako Bunge hilo litavunjwa na nchi kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani.
Waziri Mkuu Pinda atawasilisha bajeti ya ofisi yake ambayo inahusisha wizara tatu ambazo ni Ofisi ya Bunge, Sera, Uratibu...

 

11 years ago

Michuzi

NECTA yatoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wadau wa elimu kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne

Na Hellen kwavava
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wadau wa elimu kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yaliyotangazwa Februari 21 mwaka huu ambayo ni viwango vya ufaulu, alama ya chini ya ufaulu na ufaulu wa jumla wa mtahiniwa.
Akitoa ufafanuzi huo kwa waandishi wa habari jijini Dar es salaam Kaimu Katibu mtendaji wa Baraza hilo Dakta CHARLES MSONDE amesema viwango vya ufaulu ni makundi ya alama yanayopangwa ili kuweka pamoja...

 

10 years ago

Vijimambo

MWANADIASPORA DMV AHUTUBIA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE NA KUWATIA MOYO SIKU 2 KABLA YA MTIHANI WA MWISHO

Akiongea na watahiniwa wa kidato cha nne siku mbili kabla ya mtihani wa Taifa 2014, shule ya secondary Montfort iliyopo Rujewa, Mbarali, Mwana-diaspora na "alumni" wa Montfort kutoka Washington, D. C., Marekani, Liberatus Mwang'ombe "Libe" alianza kwa kusema, Montfort ni shule aliyo soma na anajisikia faraja akiyaona mazingira yale. Aliendelea kwa kusema, maamuzi ya mwisho ya kila binadamu yapo chini ya himaya yake. Alisema "huwezi kutegemea mtu baki au mwingine aongoze au arutubishe maisha...

 

11 years ago

Michuzi

Wazazi Shule ya Sekondari St. Anne Marie waomba watoto wao waruhiswe kufanya mtihani wa Mock kidato cha Sita

Kiongozi wa wazazi na walezi wa wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie Adel Alex (katikati) akielezea kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mgogoro huo unaoendelea, kushoto ni Patricia Richard ambaye ni mlezi na kulia ni Dunstan Masingisa ambaye ni mzazi. Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie kufuatia vurugu zilizosababishwa na mwanafunzi mwenzao kupigwa shoka na mlinzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani