Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WAJUMBE WA JOPO LA KUTATHMINI PROGRAMU YA TEKELEZA KWA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Ijumaa, Januari 16, 2015, amekutana na kufanya mazungumzo na wajumbe wa Kamati Maalum Inayojitegemea Iliyofanya Tathmini ya Utekelezaji wa Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN). Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu, Dar es SalaamRais Kikwete amewashukuru wajumbe wa Kamati Maalum Inayojitegemea iliyofanya tathmini ya utekelezaji wa Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN). Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JK AKUTANA NA WAJUMBE WA JOPO LA KUTATHMINI PROGRAMU YA TEKELEZA KWA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN)

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na wajumbe wa Jopo la Kutathmini Programu  ya Tekeleza kwa Matokeo Makubwa Sasa (BRN Independent Review Panel) linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Botswana Mheshimiwa Dkt. Festus Mogae ( aliyekaa wa kwanza kulia kwa Rais Kikwete) huko Ikulu tarehe 16.01.2015. Rais Dkt. Jakaya Kikwete akikabidhi tuzo maalum ya Vision 2025 Big… ...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA YA NJE WA UJERUMANI DKT FRANK-WALTER STEIMEIER IKULU LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake, Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ujerumani muda mfupi kabla ya kufanya mazungumzo ya faragha (tete-a-tete ) huko Ikulu tarehe 25.03.2014. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mheshimiwa Bernard Membe wakipiga  picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Mheshimiwa Dkt. Frank-Walter Steinmeier na ujumbe aliofuatana nao wakati wakipomtembelea Rais Dkt....

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA YAWEKA WAZI JINSI ITAKAVYOTEKELEZA MATOKEO MAKUBWA SASA 'BRN'

Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma, akizungumza wakati wa Semina maalum kwa 'Mablogger', iliyofanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro Park, Misugusugu Kibaha, hivi karibuni. Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Fedha kwa lengo la utaratibu wa kutimiza utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now). ************************************************* Na Sufianimafoto Reporter wizara ya fedha imeeleza wazi kuhusu mipango yake ya kutekeleza matokeo makubwa sasa(BRN) ikiwa ni...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI APOKEA MABEHEWA 50 YA KUBEBEA MAKASHA CHINI YA MPANGO WA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN)

Moja kati ya mabehewa 50 ya kubebea makasha likishushwa katika Bandari ya Dar es Salaam, leo asubuhi. Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), leo limepokea mabehewa 50 ya kubebea makasha ambapo mradi huu unatekelezwa chini ya Mpango wa Matokeo makubwa sasa(BRN). Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk . Shaaban Mwinjaka(mwenye tai ya blue), akiangalia behewa moja kati ya mabehewa 50 ya kubebea makasha yalishuhushuwa katika bandari ya Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA AFANYA ZIARA YA KUHAMASISHA MPANGO WA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN) KATIKA SEKTA YA ELIMU MKOANI HUMO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akizungumza kwa hisia kubwa na wanafunzi wa shule ya Sekondari Itwelele iliyopo Manispaa ya Sumbawanga leo tarehe 15/07/2014 ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya kuhamasisha mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) kwa shule za Msingi na Sekondari Mkoani Rukwa. Katika ziara yake hii amepata fursa ya kuonana na wanafunzi na wadau wa elimu zikiwemo kamati za shule mbalimbali katika kata za Manispaa ya Sumbawanga na viongozi katika kujadili na kuweka...

 

10 years ago

Mwananchi

Lawama ziende kwa wajumbe wa Katiba, si Rais Jakaya Kikwete

Wakati wa utawala wake, Mwalimu Julius Nyerere alisisitiza sana umuhimu wa katiba na pia kuitii. Ndiyo maana aliwahi kusema na naomba kumnukuu;

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani