Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jopo la Kimataifa Kutathmini Mwaka Mmoja wa BRN

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JK AKUTANA NA WAJUMBE WA JOPO LA KUTATHMINI PROGRAMU YA TEKELEZA KWA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN)

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na wajumbe wa Jopo la Kutathmini Programu  ya Tekeleza kwa Matokeo Makubwa Sasa (BRN Independent Review Panel) linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Botswana Mheshimiwa Dkt. Festus Mogae ( aliyekaa wa kwanza kulia kwa Rais Kikwete) huko Ikulu tarehe 16.01.2015. Rais Dkt. Jakaya Kikwete akikabidhi tuzo maalum ya Vision 2025 Big… ...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WAJUMBE WA JOPO LA KUTATHMINI PROGRAMU YA TEKELEZA KWA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Ijumaa, Januari 16, 2015, amekutana na kufanya mazungumzo na wajumbe wa Kamati Maalum Inayojitegemea Iliyofanya Tathmini ya Utekelezaji wa Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN). Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu, Dar es SalaamRais Kikwete amewashukuru wajumbe wa Kamati Maalum Inayojitegemea iliyofanya tathmini ya utekelezaji wa Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN). Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwaka mmoja wa UTEKELEZAJI WA BRN UNARIDHISHA?

BRN, matarajio ilikuwa ni kufikia asilimia 70 ya ufaulu kwa shule za msingi mwaka 2014, badala yake ilipata asilimia 58 tu. Kwa upande wa sekondari, kiwango kilikuwa kufikia asilimia 60 lakini wanafunzi wakapata asilimia 58.

 

10 years ago

Michuzi

BRN yatekeleza mengi katika mwaka mmoja

Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ambao Serikali ya Tanzania imeanza kuutekeleza tangu Julai, 2013 umeleta matokeo makubwa yatakayosaidia kukuza uchumi wa nchi na huduma kwa wananchi.
Hayo yalisemwa juzi visiwani Zanzibar na Mtendaji Mkuu kutoka Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekeleaji wa Miradi (PDB) inayosimamia utelezaji wa BRN kwa Tanzania Bara, Omari Issa alipokuwa akitoa mada kwa watendaji waandamizi wa Serikali.

Katika semina hiyo iliyohudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mafanikio ya BRN katika kipindi cha mwaka mmoja

Mwezi Juni mwaka 2013, Rais Jakaya Kikwete alimteua Omari Issa kuwa mtendaji mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), inayoratibu Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA TATHMINI YA BRN

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akijadiliana jambo la kiongozi wa Jopo la Kimataifa la Tathmini (IRP), Rais Mstaafu wa Botswana, Festus Mogae (wa pili kulia) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa jopo hilo kutathmini mwaka mmoja wa utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) Dar es Salaam jana. Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa (BRN), Omari Issa akichangia mada wakati wa mkutano wa tathmini ya jopo la kimataifa...

 

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA

ELIMU
Dada nakukubali sana, vipi kuhusu kiwango chako cha elimu? Fura, Hedaru, 0714403227
FLORA: Nina elimu ya kidato cha sita na Diploma ya Uandishi wa habari. Msanii wa Bongo Muvi na muziki Bongo, Flora Mvungi akiwa na mwanaye Tanzanite. NDOA NA UIGIZAJI
Hivi dada Flora unawezaje kuitumikia ndoa yako kikamilifu huku ukijishughulisha na uigizaji? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
FLORA: Ni kujipanga tu, yote yanawezekana....

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili wa kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar,kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili { Donor Conference } kwa ajili ya kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar unatarajiwa kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu hapa Zanzibar baada kukamilika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mkutano huo utakofadhiliwa na Serikali ya Oman unatatarajiwa pia kujumuisha Wawekezaji wa sekta ya fedha na uchumi kutoka Mataifa na Taasisi tofauti Duniani . Mjumbe Maalum wa Serikali ya Oman Bwana Yahya Al – Ureim alieleza...

 

10 years ago

Michuzi

Mtendaji Mkuu BRN Bw. Omar Issa atunukiwa tuzo ya Mbia Bora wa Mwaka

MTENDAJI Mkuu wa Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji na Usimamizi wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Omari Issa (pichani) ameanza kutambulika mchango wake hapa nchini baada ya kutunukiwa  Tuzo ya Mbia Bora wa Umma wa Mwaka (Public Partner of the Year).Tuzo hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na Taasisi ya Maafisa Watendaji Wakuu (CEOs-Roundtable) inayojumuisha watendaji waandamizi kutoka sekta binafsi.Bw. Issa, ambaye ni  mmoja wa watanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani