Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BRN yatekeleza mengi katika mwaka mmoja

Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ambao Serikali ya Tanzania imeanza kuutekeleza tangu Julai, 2013 umeleta matokeo makubwa yatakayosaidia kukuza uchumi wa nchi na huduma kwa wananchi.
Hayo yalisemwa juzi visiwani Zanzibar na Mtendaji Mkuu kutoka Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekeleaji wa Miradi (PDB) inayosimamia utelezaji wa BRN kwa Tanzania Bara, Omari Issa alipokuwa akitoa mada kwa watendaji waandamizi wa Serikali.

Katika semina hiyo iliyohudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mafanikio ya BRN katika kipindi cha mwaka mmoja

Mwezi Juni mwaka 2013, Rais Jakaya Kikwete alimteua Omari Issa kuwa mtendaji mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), inayoratibu Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

 

10 years ago

Mwananchi

Mwaka mmoja wa UTEKELEZAJI WA BRN UNARIDHISHA?

BRN, matarajio ilikuwa ni kufikia asilimia 70 ya ufaulu kwa shule za msingi mwaka 2014, badala yake ilipata asilimia 58 tu. Kwa upande wa sekondari, kiwango kilikuwa kufikia asilimia 60 lakini wanafunzi wakapata asilimia 58.

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Swala yaahidi makubwa, mwaka mmoja baada ya kuingia katika soko la hisa

PHOTO SWALA1

Mkurugenzi Mtendaji wa  Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC, David Mestres Ridge (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu kampuni yake kutimiza mwaka mmoja tangu iingie katika soko la hisa (IPO) ambapo Swala iliingiza jumla ya hisa za kawaida 9,600,000, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa ARCH Financial & Investment Advisory Limited, Iyen Nsemwa.

Kampuni ya uchimbaji mafuta na gesi ya Swala Energy leo imetimiza mwaka mmoja tangu kuingia katika...

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAMBAZI YAUA BINTI MMOJA NA KUJERUHI MMOJA KATIKA TUKIO LA UPORAJI LILILOTOKEA LEO ASUBUHI YOMBO VITUKA

Mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina moja la Betty baada ya kupigwa risasi leo asubuhi huko Yombo Vituka, Temeke jijini Dar es Salaam ukiwa umesitiriwa kwa kufunikwa na khanga.Gari alilokuwa amepanda marehemu betty likiwa limedumbukia mtaroni kutokana na dereva wa gari hilo mali ya kampuni ya ulinzi ya Tunu kupigwa risasi ya mkono mara baada ya kukataa kusimama wakati alipoambiwa kufanya hivyo na majambazi.
Majambazi wawili waliokuwa na pikipiki wamuua Binti mmoja aliyefahamika kwa jina...

 

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA

ELIMU
Dada nakukubali sana, vipi kuhusu kiwango chako cha elimu? Fura, Hedaru, 0714403227
FLORA: Nina elimu ya kidato cha sita na Diploma ya Uandishi wa habari. Msanii wa Bongo Muvi na muziki Bongo, Flora Mvungi akiwa na mwanaye Tanzanite. NDOA NA UIGIZAJI
Hivi dada Flora unawezaje kuitumikia ndoa yako kikamilifu huku ukijishughulisha na uigizaji? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
FLORA: Ni kujipanga tu, yote yanawezekana....

 

10 years ago

Michuzi

Mtendaji Mkuu BRN Bw. Omar Issa atunukiwa tuzo ya Mbia Bora wa Mwaka

MTENDAJI Mkuu wa Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji na Usimamizi wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Omari Issa (pichani) ameanza kutambulika mchango wake hapa nchini baada ya kutunukiwa  Tuzo ya Mbia Bora wa Umma wa Mwaka (Public Partner of the Year).Tuzo hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na Taasisi ya Maafisa Watendaji Wakuu (CEOs-Roundtable) inayojumuisha watendaji waandamizi kutoka sekta binafsi.Bw. Issa, ambaye ni  mmoja wa watanzania...

 

10 years ago

Habarileo

Dar yang’ara katika BRN

BAADA ya kuongoza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka jana, Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN), kwa shule zake kusimamia na kutoa mitihani ya utamilifu (mock) kwa manispaa zote tatu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani