Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwaka mmoja wa UTEKELEZAJI WA BRN UNARIDHISHA?

BRN, matarajio ilikuwa ni kufikia asilimia 70 ya ufaulu kwa shule za msingi mwaka 2014, badala yake ilipata asilimia 58 tu. Kwa upande wa sekondari, kiwango kilikuwa kufikia asilimia 60 lakini wanafunzi wakapata asilimia 58.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

BRN yatekeleza mengi katika mwaka mmoja

Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ambao Serikali ya Tanzania imeanza kuutekeleza tangu Julai, 2013 umeleta matokeo makubwa yatakayosaidia kukuza uchumi wa nchi na huduma kwa wananchi.
Hayo yalisemwa juzi visiwani Zanzibar na Mtendaji Mkuu kutoka Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekeleaji wa Miradi (PDB) inayosimamia utelezaji wa BRN kwa Tanzania Bara, Omari Issa alipokuwa akitoa mada kwa watendaji waandamizi wa Serikali.

Katika semina hiyo iliyohudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mafanikio ya BRN katika kipindi cha mwaka mmoja

Mwezi Juni mwaka 2013, Rais Jakaya Kikwete alimteua Omari Issa kuwa mtendaji mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), inayoratibu Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utekelezaji BRN watengewa bil. 5/-

KIASI cha sh bilioni tano zimetengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (BRN) itakayofanywa na taasisi za sekta binafsi. Fedha hizo zitatumika kutekeleza miradi ya maendeleo...

 

10 years ago

Michuzi

MSUMBIJI YAJA KUJIFUNZA UTEKELEZAJI WA BRN TANZANIA

Ujumbe kutoka Msumbiji (kushoto) na Wakurugenzi wa Wizara ya Maji katika kikao cha pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Mbogo Futakamba. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Mbogo Futakamba (katikati), pamoja na Mkurugenzi wa Mipango na Utafiti wa Presidential Delivery Bureau (PDB), Mugisha Kamugisha (kushoto) na Mkurugenzi wa Maji Vijijini, Frida Rweyemamu. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Mbogo Futakamba akizungumza na Ujumbe kutoka kutoka Msumbiji.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA BRN WAFANYIKA LEO JIJINI DAR

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Bashir Mrindoko Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa...

 

10 years ago

Michuzi

NCHI ZA UKANDA WA KATI WA UCHUKUZI ZASHAURIWA KUCHUKUA NIDHAMU YA UTEKELEZAJI YA BRN

Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN),  Omari Issa amewashauri Wakuu wa Nchi za Ukanda wa Kati wa Uchukuzi kuwa mifumo ya ufuatiliaji na utekelezaji itakayoharakisha ukamilishaji wa miradi iliyoko katika nchi zao.
Alisisitiza kuwa bila kuwa na mifumo ya ufuatiliaji, baadhi ya nchi zinaweza kumaliza kwa wakati miradi yake; huku nchi nyingine zikichelewa kukamilisha miradi iliyo upande wake. Hali...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mizengo Pinda afungua Mkutano wa Tathmini ya Utekelezaji wa BRN

1

Gavana  wa  Benki   Kuu  ya  Tanzania,  Prof.  Benno  Ndulu akichangia   hoja   wakati  wa mkutano  wa  kupitia  taarifa  ya  mwaka mmoja ya utekelezaji  wa  Mpango  wa  Matokeo  Makubwa  sasa (BRN) uliofanyika  leo  Jumatano   Julai  23,  2014  katika  ukumbi   wa Mwalimu  Nyerere  Jijini  Dar es  Salaam.  Kulia ni Katibu Mkuu  wa Wizara  ya Maji  na  Umwagiliaji  Mhandisi, Bashir Mrindoko.

2.

Katibu  Mkuu  Kiongozi  Balozi   Ombeni  Sefue  akichangia  hoja  wakati mkutano wa kupitia...

 

10 years ago

Michuzi

Wizara ya nishati na madini yatangaza utoaji ruzuku awamu ya pili, kwa wachimbaji wadogo, BRN kupima utekelezaji, tathmini

 Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava.Na Asteria Muhozya, Dar es SalaamMatokeo ya utekelezaji wa utoaji wa ruzuku kwa wachimbaji Madini wadogo nchini Awamu ya Pili yanatarajiwa kufanyiwa tathmini na ufuatiliaji kupitia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

Hayo yamebainishwa na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava wakati akiongea katika Kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa kupitia Televisheni ya Taifa TBC1 mapema leo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani