Mtendaji Mkuu BRN Bw. Omar Issa atunukiwa tuzo ya Mbia Bora wa Mwaka
![](http://2.bp.blogspot.com/-qhKW0kVo_sU/VHQHVGFuSOI/AAAAAAAGzPU/w2et6afDrSk/s72-c/3d6cOmari-Issa.jpg)
MTENDAJI Mkuu wa Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji na Usimamizi wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Omari Issa (pichani) ameanza kutambulika mchango wake hapa nchini baada ya kutunukiwa Tuzo ya Mbia Bora wa Umma wa Mwaka (Public Partner of the Year).Tuzo hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na Taasisi ya Maafisa Watendaji Wakuu (CEOs-Roundtable) inayojumuisha watendaji waandamizi kutoka sekta binafsi.Bw. Issa, ambaye ni mmoja wa watanzania...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi20 Aug
MTENDAJI MKUU BRN ATOA CHANGAMOTO
TAASISI za Serikali zinazohusika katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) zimetakiwa kuhakikisha kuwa wananchi wanaelezwa mafanikio na changamoto za utekelezaji wa Mpango huo.
Wito huo umetolewa jijini Dar es Salaam leo Jumatano na Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia utekelezaji wa BRN, Bw. Omari Issa alipokuwa akifungua Mkutano wa Kwanza wa Watendaji wa Serikali Kutathmini...
10 years ago
Habarileo09 Mar
Askari Oysterbay atunukiwa Tuzo ya Mwanamke bora
ASKARI wa kituo cha Polisi Oysterbay, Inspekta Prisca Komba ametunukiwa Tuzo ya Mwanamke Bora wa mwaka kwa mwaka huu kutokana na harakati zake za kusaidia haki za wanawake hasa kupitia dawati la jinsia kituoni hapo.
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Dewji atunukiwa tuzo uongozi bora Afrika
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-K5so_1ymcaE/Vhu4WiEjn_I/AAAAAAAH_fU/8HKiBHdi40o/s72-c/New%2BPicture.png)
PROFESA NDULU, ATUNUKIWA TUZO YA GAVANA BORA AFRIKA 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-K5so_1ymcaE/Vhu4WiEjn_I/AAAAAAAH_fU/8HKiBHdi40o/s1600/New%2BPicture.png)
Tuzo hiyo inayojulikana kama ‘Central Bank Governor of the Year’ ilitolewa na taasisi ya Africa Investor (Ai) jijini New York, Marekani hivi karibuni katika mkutano wake wa nane uliohudhuriwa na zaidi watu 250 maarufu katika biashara, serikali, maendeleo, sekta ya fedha na wakuu wa nchi tano za Afrika.
Prof. Ndulu aliibuka kidedea kwa kuwashinda magavana wa benki...
10 years ago
MichuziNAIBU MTENDAJI MKUU BRN AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA KILIMO
11 years ago
GPLWAZIRI MKUU PINDA AKABIDHI TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14, DK KAMM AIBUKA SHUJAA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-314SBbg9V4s/VGC5h67kIkI/AAAAAAAGwZQ/twpiyF6pb70/s72-c/unnamed%2B(64).jpg)
BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI MHE. OMAR MJENGA, AKUTANA MTENDAJI MKUU NA RAIS WA FLYDUBAI
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Rais Kikwete atunukiwa Tuzo ya Kudumisha Utawala Bora Barani Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Jitihada za muongo mzima wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuimarisha na kudumisha Utawala Bora katika Tanzania zimetambuliwa kimataifa kwa Rais kutunukiwa Tuzo la Utawala Bora Barani Afrika mwaka 2015 (Good Governance in Africa.)
Rais Kikwete ametunukiwa Tuzo hiyo na Taasisi ya African Achievers Awards yenye makao yake makuu katika Afrika Kusini kutokana na kutambua mchango...
11 years ago
Michuzi31 Mar
WAZIRI MKUU PINDA AKABIDHI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14, DK MARIA KAMM AIBUKA SHUJAA