Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askari Oysterbay atunukiwa Tuzo ya Mwanamke bora

ASKARI wa kituo cha Polisi Oysterbay, Inspekta Prisca Komba ametunukiwa Tuzo ya Mwanamke Bora wa mwaka kwa mwaka huu kutokana na harakati zake za kusaidia haki za wanawake hasa kupitia dawati la jinsia kituoni hapo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dewji atunukiwa tuzo uongozi bora Afrika

Mbunge wa Singida Mjini (CCM) na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya kiongozi bora aliyejitolea kwa kiasi kikubwa katika jamii na kuleta mabadiliko Afrika kwa mwaka 2014.

 

11 years ago

GPL

TUZO YA MWANAMKE BORA, HESHIMA YA KWELI YA MWANAMKE, PINDA NI MSOMI WA UWAZI

Mgeni rasmi, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akihutubia kabla ya kukabidhi tuzo. Na Luqman Maloto Mwanamke wa…

 

9 years ago

Michuzi

PROFESA NDULU, ATUNUKIWA TUZO YA GAVANA BORA AFRIKA 2015

  GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Professa Benno Ndulu (Pichani), ameshinda tuzo ya ‘Gavana Bora wa Afrika kwa mwaka 2015.

Tuzo hiyo inayojulikana kama ‘Central Bank Governor of the Year’ ilitolewa na taasisi ya Africa Investor (Ai) jijini New York, Marekani hivi karibuni katika mkutano wake wa nane uliohudhuriwa na zaidi watu 250 maarufu katika biashara, serikali, maendeleo, sekta ya fedha na wakuu wa nchi tano za Afrika.


Prof. Ndulu aliibuka kidedea kwa kuwashinda magavana wa benki...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atunukiwa Tuzo ya Kudumisha Utawala Bora Barani Afrika

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Jitihada za muongo mzima wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuimarisha na kudumisha Utawala Bora katika Tanzania zimetambuliwa kimataifa kwa Rais kutunukiwa Tuzo la Utawala Bora Barani Afrika mwaka 2015 (Good Governance in Africa.)

Rais Kikwete ametunukiwa Tuzo hiyo na Taasisi ya African Achievers Awards yenye makao yake makuu katika Afrika Kusini kutokana na kutambua mchango...

 

10 years ago

Michuzi

Mtendaji Mkuu BRN Bw. Omar Issa atunukiwa tuzo ya Mbia Bora wa Mwaka

MTENDAJI Mkuu wa Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji na Usimamizi wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Omari Issa (pichani) ameanza kutambulika mchango wake hapa nchini baada ya kutunukiwa  Tuzo ya Mbia Bora wa Umma wa Mwaka (Public Partner of the Year).Tuzo hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na Taasisi ya Maafisa Watendaji Wakuu (CEOs-Roundtable) inayojumuisha watendaji waandamizi kutoka sekta binafsi.Bw. Issa, ambaye ni  mmoja wa watanzania...

 

11 years ago

GPL

USIKU WA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/2014

Dk. Maria Kamm akiwasii ndani ya Ukumbi wa African Dreams. Mama Magreth Sitta (kushoto) akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa alipowasili ukumbini.…

 

11 years ago

Michuzi

TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2014 KUFANYIKA KESHO MJINI DODOMA

WAZIRI Mkuu Mhe.  Mizengo Pinda kesho atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013-14, itakayowakutanisha wanawake wanne itakayofanyika kesho katika Ukumbi wa The African Dream mjini Dodoma. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ndiye  atakuwa mgeni rasmi katika utoaji tuzo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, ambayo ndiyo iliyoratibu zoezi hilo, Eric Shigongo, amesema leo  kwamba shughuli hiyo itakuwa ni hitimisho la kazi kubwa ya kupokea na kuchuja kura...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani