Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakubwa waunga mkono kazi ya Jopo la Rais Kikwete

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa Linalopendekeza Jinsi Dunia inavyoweza kukabiliana na majanga yajayo ya magonjwa ya milipuko, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Jumatano, Julai 15, 2015, ameongoza vikao vya Jopo hilo ambalo kazi yake imeungwa mkono na nchi 21 ambazo zilichangia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ebola.

Miongoni mwa mikutano ambayo Rais Kikwete ameiongoza katika Makao ya Umoja wa Mataifa (UN) mjini Geneva ni pamoja na yeye na wanajopo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wawakilishi UN waunga mkono kazi ya Rais Kikwete na wenzake

Jakaya-Kikwete1

Jumuiya ya Kimataifa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) mjini New York imeelezea msimamo wake thabiti wa kuunga mkono kwa dhati na kwa kila hali kazi na jukumu ya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani la Kukabiliana na Majanga Duniani linaloongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani).

Jumuiya hiyo imeeleza msimamo wake wa kuunga mkono Jopo hilo wakati Rais Kikwete na wana-Jopo wenzake walipopata nafasi ya kuwaelezea Wawakilishi wa Kudumu...

 

10 years ago

Habarileo

UN waunga mkono kazi ya Kikwete

Rais Jakaya KikweteJUMUIYA ya Kimataifa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini hapa, imeelezea msimamo wake thabiti wa kuunga mkono kwa dhati na kwa kila hali kazi na jukumu ya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani la Kukabiliana na Majanga Duniani linaloongozwa na Rais Jakaya Kikwete.

 

9 years ago

Michuzi

Airtel waunga mkono tamko la Rais Dkt.Magufuli la kufanya usafi kama siku ya maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru wa Tanzania




Baadhi ya Wafanyakazi wa Airtel mkoani Songea wakifanya usafi leo katika hospitali ya wilaya ya Nzega Ikiwa ni kuitikia wito wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli wa kutangaza siku ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali hapa nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

Vijana wa CCM Zanzibar Waunga mkono hotuba ya Rais wa Zanzibar Dk Shein

Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka akiwahutubia mamia ya vijana baada ya kupokea matembezi ya mshikamano na kufanya mkutano wa hadhara kwenye vianja vya Magogoni Kwa Mabata mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kupongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibr Dr. Ali Mohamed Shein aliyoitoa tarehe 12/1/2015 katika viwanja vya Amani mjini Zanzibar.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ZANZIBAR) Umati wa vijana ukiwa kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA AMANI TANZANIA YAWATAKA WANASIASA KUACHA KUTUMIA JANGA LA CORONA KAMA MTAJI WA KISIASA, WAUNGA MKONO HOTUBA YA RAIS MAGUFULI

 Mwenyekiti wa Taasisi ya Amani Tanzania Sadiki  Godigodi(kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo Mei 20 jijini Dar es Salaam wakati akielezea taasisi hiyo inavyomuunga mkono Rais Dk.John Magufuli katika mapambano dhidi ya janga la Corona.Katikati ni Mkurugenzi wa Siasa na Dini wa taasisi hiyo Alhaji Dk.Sule Seif na kushoto ni Mshauri wa taasisi hiyo Issa Mkalinga.
 Mshauri wa Taasisi ya Amani Tanzania Issa Mkalinga (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo.Wengine ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wadhamini waunga mkono hatua ya Blatter

Wadhamini wakuu wa FIFA wameafiki tangazo la Bwana Blatter kujiuzulu, wakisema kuwa ni hatua bora kuelekea mageuzi ya shirikisho hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Waunga mkono kauli za viongozi wa dini

Wanazuoni na wananchi mbalimbali wameunga mkono ushauri wa viongozi wa dini wa kuwataka wajumbe wa Bunge la Katiba kuacha kuwatusi waliokuwa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani