Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) yaandaa maandamano jijini new york
Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) inapenda kuwaarifu Wazanzibari, Watanzania na Wapenda Amani wote ulimwenguni kuhudhuria katika maandamano ya kushinikiza kumaliza mchakato wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika huko nyumbani Zanzibar tarehe 25/10/2015. Maandamano hayo yatafanyika siku ya Ijumaa tarehe 18/12/2015 kwenye viunga vya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York kuanzia saa nne asubuhi (10:00 AM) hadi saa sita mchana (12:00 PM)....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboZADIA KUENDELEZA UMOJA NA MSHIKAMANO WA WAZANZIBARI NCHINI MAREKANI
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa ZADIA Ndugu Omar Haji Ally, alipokuwa akitoa maelezo mafupi ya kumkaribisha Rais wa zamani wa Zanzibar Mheshimiwa Alhajj Ali Hassan Mwinyi kwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa rasmi na Uongozi mzima wa Zanzibar Diaspora Association (ZADIA) Siku ya...
10 years ago
Michuzi12 May
HARAMBEE YA Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Canada (ZANCANA) YAFANA
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA WAISLAM WAISHIO DC,MARYLAND, VIRGINIA NCHINI MAREKANI (TAMCO) WALIVYO ADHIMISHA TAMCO FAMILY DAY
Watatu kutoka kulia ni mwenyekiti wa tamco Bw. Ali Mohamed akifutiwa na muasisi alietowa wazo la kuanzishwa jumuiya ya waislam ya watanzania waishio washington DC na vitongoji vyake, mzee Yussf Kalala wa nne kutoka kulia, wakiwa na baadhi ya viongozi wengine katika siku ya TAMCO FAmily Day
Muasisisi wa TAMCO, Mzee Yussuf Kalala akiwakaribisha meza kuu Ali kiba na mdogo wake Abdu Kiba kuwasalimia watanzania waliohudhuria katika TAMCO Family Day TAMCO Family Day hufanyika kila mwaka kwa...
9 years ago
MichuziJopo la UN linaloongozwa na JK lakamilisha kazi yake New York, Jijini New York, Marekani
Jopo limefanya mikutano minne na kukutana na wadau mbalimbali wa afya zikiwemo taasisi za Umoja wa...
10 years ago
Vijimambo24 Jul
MHE. BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI ANAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE WAISHIO MAREKANI KATIKA HAFLA YA KUWAAGA ITAKAYOFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 25 JULAI 2015.
The Ambassador of the United Republic of Tanzania
to the United States of America
H.E. Ambassador Liberata Mulamula
has the pleasure to cordially invite you
to a Barbeque Farewell
Saturday, July 25th 2015
from Three - Seven in the evening (3:00 – 7:00pm)
at
Ambassador’s Residence
1 Highboro Court
Bethesda, MD...
11 years ago
Michuzi03 Aug
10 years ago
VijimamboTASWIRA MBALIMBALI MKUTANO WA JIONI WA WASABATO WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAREKANI
Mchungaji Geoffrey Mbwana ambaye pia ni makamu wa Rais wa Wasabato Duniani akielezea hali ya kanisa lilivyo leo huku pia akiongoza kuimbisha nyimbo mbalimbali kwenye mkutano mkubwa wa neno la Mungu wa Wasabato Watanzania waishio nchini Marekani uliofanyika mida ya jioni siku ya Jumamosi April 18, 2015 Silver Spring, Maryland.
Mchungaji Celeb Migomvbo akielezea somo la wanandoa na vitu gani vya kuepeka vinavyosababisha kuvunja mahusiano ya wapendanao.
Maliyatabu mmoja ya waratibu wa mkutano...
10 years ago
VijimamboBALOZI LIBERATA MULAMULA AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA WASABATO WAISHIO NCHINI MAREKANI
Mchungaji Wilbert Nfubhusa akihubiri kwenye mkutano mkubwa wa neno la Mungu wa Wasababto waishio nchini Marekani uliofanyika siku ya Jumamosi April 18, 2015 Silver Spring, Maryland. Kulia ni Michael Mwasumbi akitafsiri mahubiri kwa lugha ya Kiingereza.Mkutano huu umehudhuriwa na Watanzania kutoka majimbo mbalimbali wakiwemo wengine kutoka Tanzania. Mhe. Liberata Mulamula. Balozi wa Tanzania nchini Marekani akiushukuru uongozi wa Wasabato nchini Marekani kwa kuweza kufanikisha mkutano wao na...
5 years ago
BBCSwahili10 Jun
Sababu ya maandamano kuwa na nguvu wakati huu nchini Marekani