Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZADIA KUENDELEZA UMOJA NA MSHIKAMANO WA WAZANZIBARI NCHINI MAREKANI

Na Abou Shatry Washington DCJumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani  Zanzibar Diaspora Association (ZADIA) imesisitiza azma yake ya kendeleza umoja na mshikamano wa Wazanzibari ndani na nje ya Zanzibar.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa ZADIA Ndugu Omar Haji Ally, alipokuwa akitoa maelezo mafupi ya kumkaribisha Rais wa zamani wa Zanzibar Mheshimiwa Alhajj Ali Hassan Mwinyi kwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa rasmi na Uongozi mzima wa Zanzibar Diaspora Association (ZADIA) Siku ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) yaandaa maandamano jijini new york

Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) inapenda kuwaarifu Wazanzibari, Watanzania na Wapenda Amani wote ulimwenguni kuhudhuria katika maandamano ya kushinikiza kumaliza mchakato wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika huko nyumbani Zanzibar tarehe 25/10/2015. Maandamano hayo yatafanyika siku ya Ijumaa tarehe 18/12/2015 kwenye viunga vya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York kuanzia saa nne asubuhi (10:00 AM) hadi saa sita mchana (12:00 PM)....

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aelekea nchini Marekani kwa mwaliko wa Umoja wa Mataifa

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa jana, Jumamosi, Machi 28, 2015 kwenda Marekani kwa mwaliko wa Umoja wa Mataifa.

Miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete amealikwa kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa la Uchumi na Jamii (ECOSOC – UN).

 

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,

DAR ES SALAAM.

29 Machi, 2015

 

10 years ago

Habarileo

Makongoro Nyerere ahimiza umoja, mshikamano

MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Makongoro Nyerere, ametaka Watanzania kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwa kufuata misingi ya upendo, kujitolea na mshikamano.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania washauriwa kudumisha umoja, mshikamano

WATANZANIA wameshauriwa kuendeleza upendo miongoni mwao bila ya kubaguana kwa misingi ya rangi, kabila na dini, ili kuendeleza jamii na nchi kwa ujumla. Akizungumza wakati wa kuchangisha fedha kwa ajili...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI KUTOKA MAREKANI KWENYE MKUTANO WA 69 WA UMOJA WA MATAIFA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadik  baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2014 akitokea Marekani alikohudhuria Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na IGP Ernest Mangu, Mnadhimu Mkuu  wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi  Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadik  baada ya kuwasili...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI KUTOKA MAREKANI KWENYE MKUTANO WA 69 WA UMOJA WA MATAIFA‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na IGP Ernest Mangu, Mnadhimu Mkuu  wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi  Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadik  baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2014 akitokea Marekani alikohudhuria Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa.… ...

 

10 years ago

Michuzi

DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UMOJA WA AFRIKA NCHINI MAREKANI MHE AMINA SALUM ALI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali  alipofika  Ikulu  Mjini Zanzibar  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza  na Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe,Amina Salum Ali  alipofika  Ikulu  Mjini Zanzibar 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na      Balozi wa Umoja wa Afrika...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA RWANDA NCHINI MAREKANI MHE. MATHILDA MUKANTABANA ATEMBELEA AFISI ZA UMOJA WA AFRIKA WASHINGTON, DC.


Mhe Balozi wa Rwanda Profesa Mathilda Mukantabana akiwa katika pich ya pamoja na Balozi wa AU Mhe. Amina Salum Ali alipotembelea ofisi za Umoja wa Afrika uliopo Washington, DC nchini Marekani .Balozi Profesa Mathilda anachukua uongozi wa mikutano wa mabalozi wa Afrika katika kipindi cha mwezi April hadi July 2015 akiwakilisha kanda ya Afrika Mashariki.

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA UVCCM ATINGA LONGIDO,AWAHIMIZA WANACHAMA KUWA NA UMOJA.MSHIKAMANO KUJENGA CHAMA


KUTOKA ARUSHA

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Komred Kheri James ameendelea na Ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Longindo.

Pamoja na Mambo mengine Ndg Mwenyekiti  amehimiza Umuhimu wa Kukijenga Chama kusimamia Serikali kuwatumikia Wananchi pamoja na Kuimarisha Umoja na mshikamano ndani ya Jumuiya Na Chama kipindi hiki muhimu tunachoelekea katika Uchaguzi Mkuu Mwaka 2020.

tukutaneKazini





 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani