Watanzania washauriwa kudumisha umoja, mshikamano
WATANZANIA wameshauriwa kuendeleza upendo miongoni mwao bila ya kubaguana kwa misingi ya rangi, kabila na dini, ili kuendeleza jamii na nchi kwa ujumla. Akizungumza wakati wa kuchangisha fedha kwa ajili...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Watanzania watakiwa kudumisha Amani na Mshikamano
Watanzania wametakiwa kuendeleza amani na mashikamano uliopo kwa maslahi ya Kizazi hiki na Kizazi Kijacho kwa kuenzi misingi ya Amani na Uzalendo iliyojengwa na Waasisi wa Taifa hili.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Amon Mpanju ambaye pia ni mwenyekiti wa wa shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania.
Nchi ni zaidi ya itikadi na Mihemko ya watu wachache hivyo ni lazima tuwaepuke wote wanaotaka...
10 years ago
StarTV02 Oct
CCM Mwanza chawataka wanachama kudumisha mshikamano
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza kimewataka wanachama wake kudumisha mshikamano katika kipindi hiki cha uchaguzi ili kufanikisha azma ya chama hicho ya kushinda kwa kishindo kiti cha Urais, Majimbo na Kata.
Kutokuwepo kwa mshikamano baina ya wanachama hususani siku ya kupiga kura kunatajwa kukididimiza chama hicho na hivyo kusababisha kushindwa kufikia malengo husika.
Zimebaki siku chache watanzania wafanye maamuzi ya kumchagua kiongozi atakayefaa kuliongoza taifa la Tanzania.
Katika...
11 years ago
Habarileo26 Apr
Mwanga washauriwa kujenga mshikamano
WANANCHI wa Jimbo la Mwanga lililopo mkoa wa Kilimanjaro wametakiwa kujenga mshikamano, umoja na upendo miongoni mwao, kwani kwa kufanya hivyo wataweza kujiletea maendeleo yao wenyewe na kuimarisha ustawi wa jamii katika jimbo hilo.
11 years ago
Habarileo16 Oct
Makongoro Nyerere ahimiza umoja, mshikamano
MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Makongoro Nyerere, ametaka Watanzania kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwa kufuata misingi ya upendo, kujitolea na mshikamano.
10 years ago
VijimamboZADIA KUENDELEZA UMOJA NA MSHIKAMANO WA WAZANZIBARI NCHINI MAREKANI
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa ZADIA Ndugu Omar Haji Ally, alipokuwa akitoa maelezo mafupi ya kumkaribisha Rais wa zamani wa Zanzibar Mheshimiwa Alhajj Ali Hassan Mwinyi kwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa rasmi na Uongozi mzima wa Zanzibar Diaspora Association (ZADIA) Siku ya...
5 years ago
Michuzi
MWENYEKITI WA UVCCM ATINGA LONGIDO,AWAHIMIZA WANACHAMA KUWA NA UMOJA.MSHIKAMANO KUJENGA CHAMA

KUTOKA ARUSHA
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Komred Kheri James ameendelea na Ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Longindo.
Pamoja na Mambo mengine Ndg Mwenyekiti amehimiza Umuhimu wa Kukijenga Chama kusimamia Serikali kuwatumikia Wananchi pamoja na Kuimarisha Umoja na mshikamano ndani ya Jumuiya Na Chama kipindi hiki muhimu tunachoelekea katika Uchaguzi Mkuu Mwaka 2020.
tukutaneKazini






10 years ago
StarTV05 Oct
Watanzania wahimizwa kudumisha amani
Kiongozi Mkuu Kanisa la Jeshi la Wokovu Duniani Jenerali Adre Cox amewataka Watanzania kuendeleza kudumisha Amani iliyopo inayotamaniwa na Nchi nyingi Ulimwenguni kwa kuhakikisha wanashiriki Uchaguzi kwa Salama.
Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa la Jeshi la wokovu Duniani pia amewataka viongozi wa dini Nchini kwa Imani zote kuhakikisha wanaketi pamoja na kuwa na Lugha moja ya kuliombea Taifa ili Uchaguzi uwe Huru na Haki
Kiongozi huyo ambaye kwa mara ya mwisho alizuru nchi Tanzania mwaka 2002,...
10 years ago
StarTV21 Sep
Magufuli awataka watanzania kudumisha amani
Katika harakati za kufanya kampeni katika mikoa tofauti nchini Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Pombe Magufuli amefanya kampeni katika jimbo la Chato ambalo amelitumikia kwa miaka ishirini kama Mbunge.
Akihutubia wananchi waliojitokeza kumlaki na kusikiliza vipaumbele vilivyoainishwa katika ilani ya Chama cha Mapinduzi, Dokta Magufuli amezungumzia maendeleo yaliyofikiwa na jimbo hilo chini ya uwakilishi wake kuwa ni kielelezo cha utendaji na ufanisi alionao katika...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Watanzania wahimizwa kudumisha, kuuenzi Muungano
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara, Alhaji Mohamed Sinani, amewataka Watanzania kuendelea kudumisha na kuuenzi Muungano kwa masilahi ya taifa ikiwa ni njia pekee ya kuwaenzi waasisi...