Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM Mwanza chawataka wanachama kudumisha mshikamano

Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza kimewataka wanachama wake kudumisha mshikamano katika kipindi hiki cha uchaguzi ili kufanikisha azma ya chama hicho ya kushinda kwa kishindo kiti cha Urais, Majimbo na Kata.

Kutokuwepo kwa mshikamano baina ya wanachama hususani siku ya kupiga kura kunatajwa kukididimiza chama hicho na hivyo kusababisha kushindwa kufikia malengo husika.

Zimebaki siku chache watanzania wafanye maamuzi ya kumchagua kiongozi atakayefaa kuliongoza taifa la Tanzania.

Katika...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Watanzania watakiwa kudumisha Amani na Mshikamano

Frank Mvungi-Maelezo
Watanzania wametakiwa kuendeleza amani na mashikamano uliopo kwa maslahi ya Kizazi hiki na Kizazi Kijacho kwa kuenzi misingi ya Amani na Uzalendo iliyojengwa na Waasisi wa Taifa hili.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Amon Mpanju ambaye pia ni mwenyekiti wa wa shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania.
Nchi ni zaidi ya itikadi na Mihemko ya watu wachache hivyo ni lazima tuwaepuke wote wanaotaka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania washauriwa kudumisha umoja, mshikamano

WATANZANIA wameshauriwa kuendeleza upendo miongoni mwao bila ya kubaguana kwa misingi ya rangi, kabila na dini, ili kuendeleza jamii na nchi kwa ujumla. Akizungumza wakati wa kuchangisha fedha kwa ajili...

 

11 years ago

Michuzi

NAPE azungumza na wanachama wa CCM Tawi la SAUT jijini MWANZA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa CCM Tawi la SAUT Kambarage ambapo aliwaambia kuwa wasomi wa vyuo wanatakiwa kuchangia mawazo yao kwenye chama ambayo yatasaidia kuleta mabadiliko hasa ya kiuchumi ,alisema ni vyema kuja na mikakati ya kuonyesha uchumi umepanda kwa mwananchi kuliko huu wa sasa ambao unaonyesha uchumi umepanda lakini ni uchumi wa kwenye makaratasi.Uongozi Tawi la SAUT Kambarage ulimualika Katibu wa Itikadi na Uenezi kuja kushuhudia...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA UVCCM ATINGA LONGIDO,AWAHIMIZA WANACHAMA KUWA NA UMOJA.MSHIKAMANO KUJENGA CHAMA


KUTOKA ARUSHA

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Komred Kheri James ameendelea na Ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Longindo.

Pamoja na Mambo mengine Ndg Mwenyekiti  amehimiza Umuhimu wa Kukijenga Chama kusimamia Serikali kuwatumikia Wananchi pamoja na Kuimarisha Umoja na mshikamano ndani ya Jumuiya Na Chama kipindi hiki muhimu tunachoelekea katika Uchaguzi Mkuu Mwaka 2020.

tukutaneKazini





 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CCM DK. KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM JIJINI MBEYA‏

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Soweto Mwanjelwa jijini Mbeya tayari kwa kuanza matembezi ya mshikamano kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.… ...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM,RAIS KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO YA MIAKA 37 YA CCM JIJINI MBEYA,KUHUTUBIA TAIFA MCHANA

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete  akiwapungia mkono baadhi ya Wananchi (hawapo pichani),walioshirikia matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya Soweto,kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya mapema leo asubuhi,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.Kushoto kati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki,Mh.Godfrey...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani