Watanzania watakiwa kudumisha Amani na Mshikamano
![](http://3.bp.blogspot.com/-cyoUCcab-To/VFokOc0rYjI/AAAAAAAGvpQ/5A2tUDyZXCQ/s72-c/unnamed.jpg)
Frank Mvungi-Maelezo
Watanzania wametakiwa kuendeleza amani na mashikamano uliopo kwa maslahi ya Kizazi hiki na Kizazi Kijacho kwa kuenzi misingi ya Amani na Uzalendo iliyojengwa na Waasisi wa Taifa hili.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Amon Mpanju ambaye pia ni mwenyekiti wa wa shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania.
Nchi ni zaidi ya itikadi na Mihemko ya watu wachache hivyo ni lazima tuwaepuke wote wanaotaka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Watanzania washauriwa kudumisha umoja, mshikamano
WATANZANIA wameshauriwa kuendeleza upendo miongoni mwao bila ya kubaguana kwa misingi ya rangi, kabila na dini, ili kuendeleza jamii na nchi kwa ujumla. Akizungumza wakati wa kuchangisha fedha kwa ajili...
9 years ago
StarTV05 Oct
Watanzania wahimizwa kudumisha amani
Kiongozi Mkuu Kanisa la Jeshi la Wokovu Duniani Jenerali Adre Cox amewataka Watanzania kuendeleza kudumisha Amani iliyopo inayotamaniwa na Nchi nyingi Ulimwenguni kwa kuhakikisha wanashiriki Uchaguzi kwa Salama.
Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa la Jeshi la wokovu Duniani pia amewataka viongozi wa dini Nchini kwa Imani zote kuhakikisha wanaketi pamoja na kuwa na Lugha moja ya kuliombea Taifa ili Uchaguzi uwe Huru na Haki
Kiongozi huyo ambaye kwa mara ya mwisho alizuru nchi Tanzania mwaka 2002,...
9 years ago
StarTV21 Sep
Magufuli awataka watanzania kudumisha amani
Katika harakati za kufanya kampeni katika mikoa tofauti nchini Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Pombe Magufuli amefanya kampeni katika jimbo la Chato ambalo amelitumikia kwa miaka ishirini kama Mbunge.
Akihutubia wananchi waliojitokeza kumlaki na kusikiliza vipaumbele vilivyoainishwa katika ilani ya Chama cha Mapinduzi, Dokta Magufuli amezungumzia maendeleo yaliyofikiwa na jimbo hilo chini ya uwakilishi wake kuwa ni kielelezo cha utendaji na ufanisi alionao katika...
9 years ago
StarTV02 Jan
Watanzania watakiwa kuendeleza amani
WATANZANIA wametakiwa kuutumia mwaka mpya wa 2016 kuendeleza Sifa na Historia njema ya Tanzania katika kulinda na kudumisha amani iliyopo.
Kanisa la Tanzania Assemblies of God, TAG, mkoa wa Mbeya limesema kuingia mwaka mpya siyo sababu kwa Watanzania kuacha utamaduni wao wa kudumisha amani bali wanapaswa kuiendeleza sifa hiyo iliyoijengea Tanzania heshima Kimataifa.
Ushauri huo umetolewa na Mchungaji Kiongozi wa kanisa la TAG mkoa wa Mbeya, Addison Mwaijunga, wakati wa ibada maalum ya...
9 years ago
StarTV02 Oct
CCM Mwanza chawataka wanachama kudumisha mshikamano
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza kimewataka wanachama wake kudumisha mshikamano katika kipindi hiki cha uchaguzi ili kufanikisha azma ya chama hicho ya kushinda kwa kishindo kiti cha Urais, Majimbo na Kata.
Kutokuwepo kwa mshikamano baina ya wanachama hususani siku ya kupiga kura kunatajwa kukididimiza chama hicho na hivyo kusababisha kushindwa kufikia malengo husika.
Zimebaki siku chache watanzania wafanye maamuzi ya kumchagua kiongozi atakayefaa kuliongoza taifa la Tanzania.
Katika...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/rRl8xjcGOVw/default.jpg)
10 years ago
Habarileo01 Mar
Watanzania watakiwa kulinda amani, utulivu
WATANZANIA wametakiwa kulinda amani ya nchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo ili kuliletea taifa maendeleo.
9 years ago
MichuziWADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...
10 years ago
Habarileo21 Dec
Polisi watakiwa kudumisha nidhamu
MAOFISA, wakaguzi na askari wa Jeshi la Polisi hapa nchini, wametakiwa kudumisha nidhamu wakati wote, kutenda haki kwa kila mmoja na kuheshimu wananchi wa rika zote bila ya kujali dini, rangi ama itikadi zao kisiasa.