Polisi watakiwa kudumisha nidhamu
MAOFISA, wakaguzi na askari wa Jeshi la Polisi hapa nchini, wametakiwa kudumisha nidhamu wakati wote, kutenda haki kwa kila mmoja na kuheshimu wananchi wa rika zote bila ya kujali dini, rangi ama itikadi zao kisiasa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-cyoUCcab-To/VFokOc0rYjI/AAAAAAAGvpQ/5A2tUDyZXCQ/s72-c/unnamed.jpg)
Watanzania watakiwa kudumisha Amani na Mshikamano
Watanzania wametakiwa kuendeleza amani na mashikamano uliopo kwa maslahi ya Kizazi hiki na Kizazi Kijacho kwa kuenzi misingi ya Amani na Uzalendo iliyojengwa na Waasisi wa Taifa hili.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Amon Mpanju ambaye pia ni mwenyekiti wa wa shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania.
Nchi ni zaidi ya itikadi na Mihemko ya watu wachache hivyo ni lazima tuwaepuke wote wanaotaka...
9 years ago
StarTV15 Nov
Ligi daraja la pili Wachezaji watakiwa kuzingatia nidhamu, shria na kanuni.
Wakati kipenga cha michuano ya ligi soka daraja la pili kikipangwa kuanza Jumapili hii katika viwanja mbalimbali nchini wachezaji wametakiwa kuzingatia nidhamu, sheria kanuni na taratibu zinazoongoza mpira wa miguu
Michuano hiyo inazishirikisha timu 24 na timu ya Alliance Sports Academy imepangwa kundi B pamoja na Bulyanhulu ya Shinyanga JKT Rwamkoma ya Mara AFC na Madini Fc zote za Arusha na Pamba Fc ya mwanza
Star Tv imefika katika viwanja vya timu ya Alliance Sports Academy ili...
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Vurugu hizi ni ukosefu wa nidhamu polisi
9 years ago
VijimamboKAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR AWATAKA VIONGOZI WA SIASA NA WANANCHI KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA KAMPENI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-E9_KtKpE10g/VICFgf43J3I/AAAAAAAG1TM/ncRy9tFDdI8/s72-c/unnamed.jpg)
KAMISHNA KOVA AWATAKA ASKARI WALIOMALIZA MAFUNZO YA UONGOZI MDOGO WA JESHI LA POLISI KUTUMIA UJUZI NA MAARIFA WALIYOYAPATA KUONDOA KERO NA KUDUMISHA AMANI KATIKA MITAA YOTE YA JIJI LA DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-E9_KtKpE10g/VICFgf43J3I/AAAAAAAG1TM/ncRy9tFDdI8/s1600/unnamed.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-KwGUABda70o/VICFgo2WBvI/AAAAAAAG1TQ/I6Y7Kk1iem8/s1600/unnamedc1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HseiQHfLehw/VICFgZEJD-I/AAAAAAAG1TU/0ft8cGz3xzU/s1600/unnamedc.jpg)
10 years ago
Mwananchi03 Oct
10 years ago
Habarileo06 Apr
Wakristo watakiwa kuombea Jeshi la Polisi
WAKRISTO nchini wametakiwa wakati wakiadhimisha sikukuu ya kufufuka Yesu Kristo (Pasaka) waliombee Jeshi la Polisi ili wasifanyiwe vitendo vya kinyama na baadhi ya watu wenye nia mbaya na nchi.
10 years ago
Habarileo27 Mar
Polisi watakiwa kujipanga kuelekea uchaguzi mkuu
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imelitaka Jeshi la Polisi nchini kujipanga vyema kwa ajili ya kukabiliana na matukio ya uvunjifu wa amani hasa katika kipindi ambacho taifa linaelekea katika matukio muhimu likiwemo la uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
10 years ago
Mtanzania12 Sep
Wananchi watakiwa kujenga vituo vya polisi
![IGP Mangu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/IGP-Mangu.jpg)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, amewataka wananchi kuchangia ujenzi wa vituo vya polisi ili kusaidiana na Serikali katika kukabiliana na tatizo la uhalifu nchini.
IGP Mangu alitoa rai hiyo jana mkoani Kilimanjaro, wakati wa uzinduzi wa jengo la Kituo cha Polisi cha Majengo pamoja na jengo la Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo Kikuu cha Polisi Moshi Mjini, vilivyojengwa kwa nguvu za wananchi na wadau...