Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi watakiwa kujenga vituo vya polisi

IGP Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu

NA UPENDO MOSHA, MOSHI

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, amewataka wananchi kuchangia ujenzi wa vituo vya polisi ili kusaidiana na Serikali katika kukabiliana na tatizo la uhalifu nchini.

IGP Mangu alitoa rai hiyo jana mkoani Kilimanjaro, wakati wa uzinduzi wa jengo la Kituo cha Polisi cha Majengo pamoja na jengo la Dawati la  Jinsia na Watoto katika Kituo Kikuu cha Polisi Moshi Mjini,  vilivyojengwa kwa nguvu za wananchi na wadau...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

NIT kujenga vituo vya ukaguzi nchi nzima

DSCN9415

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mbene  akiwa kwenye mtambo maalum ‘Driving Simulator’ wa kufundishia madereva wa chuo cha Usafirishaji NIT (aliyekaa ), kushoto kwake anayetoa maelezo ni Mtahini wa madereva wa NIT, William Venge, anayefuatia, ni Mwenyekiti wa chuo hicho, Mhandisi, Priscila Chipweli, hiyo ilikuwa wakati Naibu huyo alipotembelea katika sherehe za miaka 40 ya kuanzishwa kwa chuo hicho. (Picha na Mpiga Picha wetu).

Na Mwandishi wetu

SERIKALI  ipo mbioni kuanzisha...

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yaahidi kujenga vituo vya soka 169 nchi nzima

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), lipo mbioni kujenga vituo 169 vya michezo katika wilaya 169 za Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

TMA KUJENGA VITUO VYA HALI YA HEWA KWENYE MAZIWA YA VICTORIA,TANGANYIKA NA NYASA

Meneja wa Huduma za Utabiri wa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), Samwel Mbuya (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu kufungua vituo vya kutolea huduma za hali ya Hewa katika maziwa ya Victoria,Tanganyika na Nyasa.Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA),Monica Mutoni.
Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania (TMA) imedhamiria kufungua Ofisi za Kutolea huduma za hali ya Hewa ili kupunguza ajali katika maziwa hapa...

 

5 years ago

Michuzi

WAGANGA WAKUU WATAKIWA KUKAGUA UTAYARI WA KUKABILIANA NA CORONA KWENYE VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA


Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia maswala ya Afya, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt.Dorothy Gwajima akiwa katika moja ya chumba kilicho andaliwa kwa ajili ya kutolea kuhuduma kwa wagonjwa wa COVID-19 (CORONA) katika halmashauri ya Ikungi mkoani Singida.Baadhi ya Watumishi kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wakikagua dawa zilizoandaliwa katika kituo cha Ilongero cha kuhudumia wa wagonjwa wa ...

 

10 years ago

GPL

KANTINI VITUO VYA POLISI ZAPIGWA ZENGWE

Na Makongoro Oging’ Askari wauziwa vinywaji, chakula bei juu, washindwa, wakimbilia kwa Mama Ntilie, wasema bora zifungwe
Asilimia kubwa ya askari polisi nchini wamekerwa na kitendo cha kantini zao kumilikishwa kwa wafanyabiashara binafsi ambao wengi wao wamekuwa wakiuza vyakula na vinywaji kwa bei ghali tofauti na makusudio. Moja ya kantini iliyoko katika kituo cha polisi. Fukunyuafukunyua imebaini kuwa hali hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Uvamizi vituo vya polisi unaashiria nini?

Tumeendelea kushuhudia majanga yakiliandama Jeshi la Polisi nchini kwa baadhi ya vituo vyake kuvamiwa na majambazi na kuporwa silaha, huku baadhi ya askari wake wakiuawa na wengine wakiachwa na vilema vya maisha. 

 

9 years ago

BBCSwahili

Polisi Israel waweka vituo vya ukaguzi

Vikosi vya Israeli vimeanza operesheni kubwa ya maswala ya usalama katika maeneo ya kiarabu ya Jerusalem mashariki

 

9 years ago

Habarileo

Vituo vya polisi vyajengwa bonde Ziwa Rukwa

SERIKALI inajenga vituo viwili vya polisi ili kukabiliana matukio ya mauaji, utekaji na uporaji wa mali za raia yanayoendelea katika Bonde la Ziwa Rukwa, wilayani Sumbawanga, mkoani Rukwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani