TMA KUJENGA VITUO VYA HALI YA HEWA KWENYE MAZIWA YA VICTORIA,TANGANYIKA NA NYASA
Meneja wa Huduma za Utabiri wa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), Samwel Mbuya (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu kufungua vituo vya kutolea huduma za hali ya Hewa katika maziwa ya Victoria,Tanganyika na Nyasa.Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA),Monica Mutoni.
Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania (TMA) imedhamiria kufungua Ofisi za Kutolea huduma za hali ya Hewa ili kupunguza ajali katika maziwa hapa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...
10 years ago
VijimamboMAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
11 years ago
Habarileo27 Mar
TMA: Hali ya Hewa iingizwe kwenye mitaala
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imeshauriwa kuingiza mitaala ya elimu juu ya masomo yanayohusu hali ya hewa katika shule za Sekondari. Imesema hali hiyo itawezesha kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na hali zake katika karne zijazo.
5 years ago
MichuziMAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yatoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa msimu wa kipupwe nchini.
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa wa msimu wa kipupwe nchini, kwa Mwezi Juni hadi Agosti 2020 na kusema kuwa mwaka huu kutakuwa na vipindi vya upepo mkali wa kusi na hali ya ukavu katika maeneo mengi ya nchini.
Pia mamlaka imesema, vipindi vya baridi kali vinatarajiwa kuwepo katika msimu huu katika maeneo ya miinuko ya nyanda za juu kusini magharibi hususan nyakati za usiku na na asubuhi.
Akizungumzia msimu huo,...
10 years ago
VijimamboHALI YA HEWA YAENDELEA KUWANOA WATAALAMU WAKE KATIKA KUKIDHI VIGEZO VYA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO)
IMG0086: Mgeni rasmi, Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi katika picha ya pamoja na wahitimu wa mafunzo ya huduma za hali ya hewa kwa ajili ya usafiri wa anga kutoka Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma,Kulia kwake mwenye tai nyekundu ni Mkuu wa Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma Bw. Joseph...
11 years ago
Habarileo20 Apr
TMA: Msidharau taarifa za hali ya hewa
WATANZANIA wametakiwa kutodharau tafiti na taarifa, zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kwani mabadiliko ya mara kwa mara ya hali ya hewa yanayotokea yanaweza kuleta madhara.
10 years ago
Habarileo02 Apr
Mabadiliko ya hali ya hewa changamoto kwa TMA
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agnes Kijazi amesema mabadiliko ya mifumo ya hali ya hewa ambayo yanatokana na mabadiliko ya tabia nchi yamekuwa changamoto kubwa kwa wataalamu wa hali ya hewa nchini.
10 years ago
VijimamboWANANCHI WA UKANDA WA ZIWA NYASA KUNUFAIKA NA UPATIKANAJI WA TAARIFA MAALUM ZA HALI YA HEWA
Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bi. Theo Ntara ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kyela (watatu kutoka kushoto), Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Hamza Kabelwa (wa nne kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha inayohusu uboreshaji wa huduma za hali ya hewa katika maeneo ya Ziwa Nyasa kwa sekta ya wakulima na wafugaji, wavuvi na wasafirishaji, tarehe 14 Mei 2015 katika hotel ya Kyela Resort-Mbeya
Mamlaka ya Hali ya Hewa kwa kushirikiana na Shirika la Hali ya Hewa...
5 years ago
CCM BlogTMA YATOA MWELEKEO WA HALI YA HEWA MSIMU WA KIPUPWE NCHINI
Na Karama Kenyunko Michuzi TV.
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa wa msimu wa kipupwe nchini, kwa Mwezi Juni hadi Agosti 2020 na kusema kuwa mwaka huu kutakuwa na vipindi vya upepo mkali wa kusi na hali ya ukavu katika maeneo mengi ya nchini.
Pia mamlaka imesema, vipindi vya baridi kali vinatarajiwa kuwepo katika msimu huu katika maeneo ya miinuko ya nyanda za juu kusini magharibi hususan nyakati za usiku na na asubuhi.
Akizungumzia msimu huo,...