Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi Israel waweka vituo vya ukaguzi

Vikosi vya Israeli vimeanza operesheni kubwa ya maswala ya usalama katika maeneo ya kiarabu ya Jerusalem mashariki

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

NIT kujenga vituo vya ukaguzi nchi nzima

DSCN9415

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mbene  akiwa kwenye mtambo maalum ‘Driving Simulator’ wa kufundishia madereva wa chuo cha Usafirishaji NIT (aliyekaa ), kushoto kwake anayetoa maelezo ni Mtahini wa madereva wa NIT, William Venge, anayefuatia, ni Mwenyekiti wa chuo hicho, Mhandisi, Priscila Chipweli, hiyo ilikuwa wakati Naibu huyo alipotembelea katika sherehe za miaka 40 ya kuanzishwa kwa chuo hicho. (Picha na Mpiga Picha wetu).

Na Mwandishi wetu

SERIKALI  ipo mbioni kuanzisha...

 

11 years ago

Mtanzania

Wananchi watakiwa kujenga vituo vya polisi

IGP Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu

NA UPENDO MOSHA, MOSHI

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, amewataka wananchi kuchangia ujenzi wa vituo vya polisi ili kusaidiana na Serikali katika kukabiliana na tatizo la uhalifu nchini.

IGP Mangu alitoa rai hiyo jana mkoani Kilimanjaro, wakati wa uzinduzi wa jengo la Kituo cha Polisi cha Majengo pamoja na jengo la Dawati la  Jinsia na Watoto katika Kituo Kikuu cha Polisi Moshi Mjini,  vilivyojengwa kwa nguvu za wananchi na wadau...

 

10 years ago

Mwananchi

Uvamizi vituo vya polisi unaashiria nini?

Tumeendelea kushuhudia majanga yakiliandama Jeshi la Polisi nchini kwa baadhi ya vituo vyake kuvamiwa na majambazi na kuporwa silaha, huku baadhi ya askari wake wakiuawa na wengine wakiachwa na vilema vya maisha. 

 

10 years ago

GPL

KANTINI VITUO VYA POLISI ZAPIGWA ZENGWE

Na Makongoro Oging’ Askari wauziwa vinywaji, chakula bei juu, washindwa, wakimbilia kwa Mama Ntilie, wasema bora zifungwe
Asilimia kubwa ya askari polisi nchini wamekerwa na kitendo cha kantini zao kumilikishwa kwa wafanyabiashara binafsi ambao wengi wao wamekuwa wakiuza vyakula na vinywaji kwa bei ghali tofauti na makusudio. Moja ya kantini iliyoko katika kituo cha polisi. Fukunyuafukunyua imebaini kuwa hali hiyo...

 

10 years ago

Habarileo

Vituo vya polisi vyajengwa bonde Ziwa Rukwa

SERIKALI inajenga vituo viwili vya polisi ili kukabiliana matukio ya mauaji, utekaji na uporaji wa mali za raia yanayoendelea katika Bonde la Ziwa Rukwa, wilayani Sumbawanga, mkoani Rukwa.

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LINAENDELEA KUFANYA UCHUNGUZI KWA WATU WANAOHUSIKA NA KUENDESHA VITUO VYA KULELEA WATOTO AMBAVYO HAVIJASAJILIWA KISHERIA.

NaSylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linaendelea kufanya uchunguzi wa watu wanaohusika na kuendesha vituo vya kulelea watoto ambavyo havijasajiliwa na vinaendeshwa katika maeneo ambayo ni hatarishi kwa watoto. Kamanda MISIIME amesema Polisi iligundua vituo vitatu katika eneo la Nkuhungu Dodoma Mjini baada ya kupokea taarifa kwamba kuna nyumba ambazo...

 

10 years ago

Habarileo

NEC, vyama vya siasa waweka maadili

Jaji Damian LubuvaTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefikia mwafaka na vyama vya siasa kuweka maadili ambayo yataviongoza vyama hivyo wakati wa kampeni hadi siku ya kupiga kura.

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU CHRISTOPHER KADIO, APOKEA TAARIFA YA UKAGUZI MRADI WA DAR CITY UNAOHUSISHA UJENZI WA NYUMBA ZA MAAFISA WA POLISI OYSTERBAY, KIJITONYAMA NA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Watatu kulia) akisisitiza jambo kwa baadhi ya Watendaji wa Wizara hii pamoja na Wajumbe wa Ukaguzi Mradi wa Dar City  walipokuwa katika Kikao cha Kuwasilisha Taarifa  ya Ukaguzi wa Mradi huo, unaohusisha Ujenzi wa Nyumba za Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kijitonyama na Kituo cha Polisi Oysterbay. Kikao hicho kilifanyika, Jijini Dodoma leo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Watatu kulia)...

 

10 years ago

Michuzi

January Makamba na ndoto ya vituo vya Michezo vya Kanda

Na Mwandishi WetuMbunge wa Bumbuli na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Habari na Masoko ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambaye hivi karibuni pia ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa January Makamba(Pichani juu)  hivi karibuni ameainisha adhma yake ya kuinua kiwango cha michezo nchini.
Azma hizo zimo katika  katika mazungumzo yake na Padre Privatus Karugendo ambayo yamechapishwa katika kitabu ambacho gazeti hili imekipata nakala yake ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani