Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vituo vya polisi vyajengwa bonde Ziwa Rukwa

SERIKALI inajenga vituo viwili vya polisi ili kukabiliana matukio ya mauaji, utekaji na uporaji wa mali za raia yanayoendelea katika Bonde la Ziwa Rukwa, wilayani Sumbawanga, mkoani Rukwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KANISA LA TAG (TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD) LAKABIDHI MSAADA WA VYANDARUA 1300 KWA HOSPITALI NA VITUO VYA AFYA MKOANI RUKWA

Askofu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jimbo la Rukwa Mchungaji Nestory Watua akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Ndugu Methew Sedoyyeka vyandarua 1300 vya kukinga mbu waenezao Malaria kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya tarehe 04/07/2014. Msaada huo ni sehemu ya vyandarua 8550 vitakavyotolea na Kanisa hilo kwa Mikoa ya Mbeya, Njombe na Rukwa katika kuadhimisha  Jubilee ya miaka 75 ya Kanisa hilo nchini. Pamoja na zoezi la ugawaji vyandarua hivyo...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA MATIBABU MKOANI RUKWA WAPEWA ELIMU YA UTARATIBU WA MIKOPO MBALIMBALI INAYOTOLEWA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Smythies Pangisa akichangia na kufunga Semina maalum ya siku moja iliyoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kuwaelimisha wadau wa vituo mbalimbali vya kutolea huduma za matibabu Mkoani Rukwa juu utaratibu wa Mfuko huo katika kutoa mikopo ya vifaa tiba, dawa na ukarabati wa vituo vya kutolea huduma za matibabu. Lengo kuu la utaratibu huo ulioanzishwa na Mfuko wa Bima ya Taifa ni kuboresha huduma za matibabu kwa wanachama wake na watanzania kwa ujumla....

 

10 years ago

GPL

KANTINI VITUO VYA POLISI ZAPIGWA ZENGWE

Na Makongoro Oging’ Askari wauziwa vinywaji, chakula bei juu, washindwa, wakimbilia kwa Mama Ntilie, wasema bora zifungwe
Asilimia kubwa ya askari polisi nchini wamekerwa na kitendo cha kantini zao kumilikishwa kwa wafanyabiashara binafsi ambao wengi wao wamekuwa wakiuza vyakula na vinywaji kwa bei ghali tofauti na makusudio. Moja ya kantini iliyoko katika kituo cha polisi. Fukunyuafukunyua imebaini kuwa hali hiyo...

 

10 years ago

Mtanzania

Wananchi watakiwa kujenga vituo vya polisi

IGP Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu

NA UPENDO MOSHA, MOSHI

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, amewataka wananchi kuchangia ujenzi wa vituo vya polisi ili kusaidiana na Serikali katika kukabiliana na tatizo la uhalifu nchini.

IGP Mangu alitoa rai hiyo jana mkoani Kilimanjaro, wakati wa uzinduzi wa jengo la Kituo cha Polisi cha Majengo pamoja na jengo la Dawati la  Jinsia na Watoto katika Kituo Kikuu cha Polisi Moshi Mjini,  vilivyojengwa kwa nguvu za wananchi na wadau...

 

10 years ago

Mwananchi

Uvamizi vituo vya polisi unaashiria nini?

Tumeendelea kushuhudia majanga yakiliandama Jeshi la Polisi nchini kwa baadhi ya vituo vyake kuvamiwa na majambazi na kuporwa silaha, huku baadhi ya askari wake wakiuawa na wengine wakiachwa na vilema vya maisha. 

 

9 years ago

BBCSwahili

Polisi Israel waweka vituo vya ukaguzi

Vikosi vya Israeli vimeanza operesheni kubwa ya maswala ya usalama katika maeneo ya kiarabu ya Jerusalem mashariki

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI AWASILI MKOANI RUKWA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU, AAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VITEULE VYA JESHI VYA KIRANDO NA KASANGA MKOANI RUKWA

Katibu Mkuu wa Wiazara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Ndugu Job Masima akishuka kwenye ndege aina ya Auric Air katika uwanja wa ndege wa Sumbawanga mapema jana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Rukwa kufuatia mwaliko wa Mkuu wa Mkoa huo Injinia Stella Manyanya. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya kulia akimtambulisha Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Symthies Pangisa kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Ndugu Job Masima mara baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani