KANISA LA TAG (TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD) LAKABIDHI MSAADA WA VYANDARUA 1300 KWA HOSPITALI NA VITUO VYA AFYA MKOANI RUKWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-uVybV_yOiw8/U7gZQTSgCFI/AAAAAAAAFnM/ny7xqZbzCJY/s72-c/IMG_2317.jpg)
Askofu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jimbo la Rukwa Mchungaji Nestory Watua akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Ndugu Methew Sedoyyeka vyandarua 1300 vya kukinga mbu waenezao Malaria kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya tarehe 04/07/2014. Msaada huo ni sehemu ya vyandarua 8550 vitakavyotolea na Kanisa hilo kwa Mikoa ya Mbeya, Njombe na Rukwa katika kuadhimisha Jubilee ya miaka 75 ya Kanisa hilo nchini. Pamoja na zoezi la ugawaji vyandarua hivyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-EcKodtFMZt0/VR0s8h36m-I/AAAAAAAAGw0/wY957-ymuIg/s72-c/P4029026.jpg)
WADAU WA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA MATIBABU MKOANI RUKWA WAPEWA ELIMU YA UTARATIBU WA MIKOPO MBALIMBALI INAYOTOLEWA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
![](http://1.bp.blogspot.com/-EcKodtFMZt0/VR0s8h36m-I/AAAAAAAAGw0/wY957-ymuIg/s1600/P4029026.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ie32M8C9n90/Xs5urEFiwaI/AAAAAAALrvc/hrAG3mLWDjsaIFPE8t1HJc9ZctIspanFACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-27%2Bat%2B4.25.25%2BPM.jpeg)
MKURUGENZI CCBRT AKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA HOSPITALI, VITUO VYA AFYA 22
![](https://1.bp.blogspot.com/-ie32M8C9n90/Xs5urEFiwaI/AAAAAAALrvc/hrAG3mLWDjsaIFPE8t1HJc9ZctIspanFACLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-27%2Bat%2B4.25.25%2BPM.jpeg)
Lengo la CCBRT ni kuunga mkono juhudi za Serikali na wadau wengine hapa nchini katika kuwakinga wahudumu wa afya na janga la Corona.
“Tumekusudia vifaa hivi vitumike katika vitengo vya afya ya uzazi katika hospitali hizo ili kuwakinga wahudumu wa afya...
10 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA TANZANIA WAKABIDHI MSAADA WA VYANDARUA KWA AJILI YA HOSPITALI NANE ZINAZOLAZA WAGONJWA UNGUJA NA PEMBA.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-gtopsaAH-xA/UwWcQrHPSQI/AAAAAAAAFBg/B4zOhJTO7IE/s72-c/P2197629.jpg)
KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI AWASILI MKOANI RUKWA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU, AAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VITEULE VYA JESHI VYA KIRANDO NA KASANGA MKOANI RUKWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-gtopsaAH-xA/UwWcQrHPSQI/AAAAAAAAFBg/B4zOhJTO7IE/s1600/P2197629.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-hvmoEYVl3I4/UwWcaCNt7FI/AAAAAAAAFBo/n_TcHb0_SXI/s1600/P2197636.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-_CBXOQPjdvs/VYJTu8SMo9I/AAAAAAAAbXI/JBUrJ9O7n8Q/s72-c/Mkurugenzi-akikata-utepe-kama-ishara-ya-kuzindua-rasmi-kituo-cha-kuhifadhia-na-kusindika-maziwa.jpg)
SHIRIKA LA OXFAM LAKABIDHI VITUO VYA KUSINDIKA NA KUHIFADHI MAZIWA KWA WANAWAKE WA VIJIJI VINNE VYA WILAYA YA NGORONGORO
![](http://4.bp.blogspot.com/-_CBXOQPjdvs/VYJTu8SMo9I/AAAAAAAAbXI/JBUrJ9O7n8Q/s640/Mkurugenzi-akikata-utepe-kama-ishara-ya-kuzindua-rasmi-kituo-cha-kuhifadhia-na-kusindika-maziwa.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-hdbrDa_PtjM/VYJV68_zB3I/AAAAAAAAbYs/MkiAcYxX28o/s640/Mkurugenzi-akijaribisha-jokofu-linalotumia-umeme-wa-jua.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-rsbSLOMZ9Ys/VYJTvAoeKEI/AAAAAAAAbXE/Af9Tk5vwS1w/s640/Mkurugenzi-akionyeshwa-vipima-joto-na-vifaa-vingine-vilivyokabidhiwa-kwa-wanakikundi.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-kB6clEzI228/VYJT1itX9FI/AAAAAAAAbYQ/nuvpFzhS09g/s640/Wanakikundi-cha-NOSOTWA-kutoka-kijiji-cha-Engaresero.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dXltEgz7LRY/VYJTzLv10QI/AAAAAAAAbXo/ijauTIo2yM4/s640/Stellah-Julius-kutoka-Oxfam-akizungumza-na-wanakikundi-cha-NOSOTWA-kutoka-kijiji-cha-Engaresero.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 May
Mambo ya Nje wakabidhi msaada wa vyandarua kwa Hospitali nane Zanzibar
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Mahadhi Juma Maalim akimkabidhi Waziri wa Afya wa Zanzibar Rashid Seif Suleiman msaada wa Vyandarua kwa ajili ya kumaliza maradhi ya Malaria Zanzibar katika hafla iliyofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja.
Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman akitoa neno la shukrani baada ya kupokea msaada wa vyandarua ambao utatumika katika Hospital nane zinazolaza wagonjwa Unguja na Pemba.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
10 years ago
Dewji Blog19 Jun
Shirika la Oxfam lakabidhi vituo vya kusindika na kuhifadhi maziwa kwa wanawake wa wilaya ya Ngorongoro
![](http://4.bp.blogspot.com/-_CBXOQPjdvs/VYJTu8SMo9I/AAAAAAAAbXI/JBUrJ9O7n8Q/s640/Mkurugenzi-akikata-utepe-kama-ishara-ya-kuzindua-rasmi-kituo-cha-kuhifadhia-na-kusindika-maziwa.jpg)
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi kituo cha kuhifadhia na kusindika maziwa.
![](http://2.bp.blogspot.com/-hdbrDa_PtjM/VYJV68_zB3I/AAAAAAAAbYs/MkiAcYxX28o/s640/Mkurugenzi-akijaribisha-jokofu-linalotumia-umeme-wa-jua.jpg)
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akijaribisha Jokofu linalotumia umeme wa jua wakati wa uzinduzi huo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-rsbSLOMZ9Ys/VYJTvAoeKEI/AAAAAAAAbXE/Af9Tk5vwS1w/s640/Mkurugenzi-akionyeshwa-vipima-joto-na-vifaa-vingine-vilivyokabidhiwa-kwa-wanakikundi.jpg)
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro, John Kulwa Mgalula (kushoto) akioneshwa baadhi ya vifaa ambavyo walikabidhiwa vituo hivyo na Shirika la Oxfam Tanzania.
![](http://1.bp.blogspot.com/-kB6clEzI228/VYJT1itX9FI/AAAAAAAAbYQ/nuvpFzhS09g/s640/Wanakikundi-cha-NOSOTWA-kutoka-kijiji-cha-Engaresero.jpg)
Baadhi ya Wanakikundi cha NOSOTWA kutoka kijiji cha...
10 years ago
Habarileo22 Dec
Kanisa lazipatia hospitali Moro vyandarua 3,000
KANISA la Tanzania Assemblies of God (TAG) limetoa msaada wa vyandarua 3,000 kwa hospitali na vituo vya afya vilivyopo katika halmashauri saba mkoani Morogoro.
10 years ago
Habarileo19 Dec
Kanisa latoa msaada wa vyandarua 2,700
MADHEHEBU ya dini nchini yametakiwa kueneza upendo na kujali maisha ya watu bila kujali itikadi na imani zao ili kuleta utengamano wa kitaifa.