KATIBU MKUU CHRISTOPHER KADIO, APOKEA TAARIFA YA UKAGUZI MRADI WA DAR CITY UNAOHUSISHA UJENZI WA NYUMBA ZA MAAFISA WA POLISI OYSTERBAY, KIJITONYAMA NA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY
![](https://1.bp.blogspot.com/-Yi-XfVF4dOE/XnJL-jaaaWI/AAAAAAALkU4/hBg6ivTFlgcPD8qGLrqHGX8_39t_NmkAgCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B1.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Watatu kulia) akisisitiza jambo kwa baadhi ya Watendaji wa Wizara hii pamoja na Wajumbe wa Ukaguzi Mradi wa Dar City walipokuwa katika Kikao cha Kuwasilisha Taarifa ya Ukaguzi wa Mradi huo, unaohusisha Ujenzi wa Nyumba za Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kijitonyama na Kituo cha Polisi Oysterbay. Kikao hicho kilifanyika, Jijini Dodoma leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Watatu kulia)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-oYEhb8JyDTQ/Ul1wPfQcfXI/AAAAAAAAQhk/4TjKo66VaA0/s1600/10.jpg?width=640)
PALE KANISA LINAPOJITOLEA KUKARABATI KITUO CHA POLISI OYSTERBAY
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
Polisi yavamia kituo cha ukusanyaji taarifa cha TACCEO na kukamata maafisa 36 pamoja na vifaa
Wakili Imelda – Lulu Urio Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC.
Na Mwandishi wetu
Mtandao wa Asasi za Kiraia za Kuangalia chaguzi nchini jana ulipata pigo katika mwendelezo wake wa kukusanya taarifa juu ya mchakato wa uchaguzi mkuu wa 2015 kama unavyoendelea nchi nzima baada ya Jeshi la Polisi kuvamia kituo cha kukusanya taarifa kilichopo katika ofisi za Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu ofisi ya Mbezi Beach.
Tukio hilo lisilo la kawaida lilitokea Majira ya saa nane mchana baada ya polisi...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-T-9pnqHRpNM/U3VNbv72PQI/AAAAAAAA6O4/T1QUzVdsjE8/s72-c/IMG_6742.jpg)
KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA VILAINISHI VYA CASTROL NA KITUO CHA MAFUTA CHA OYSTERBAY, DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-T-9pnqHRpNM/U3VNbv72PQI/AAAAAAAA6O4/T1QUzVdsjE8/s1600/IMG_6742.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vriPLAp2mZA/U3VNeKtMjrI/AAAAAAAA6PA/vmrPQA2LlIU/s1600/IMG_6754.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-NHtbrqyQcd0/U3VNiINMlkI/AAAAAAAA6PI/2qBtlGChdgo/s1600/IMG_6758.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9s7LQVci4Tk/XqA5SezPWHI/AAAAAAALn0c/pnd--DHQVUMsNr6Upobu98T637zSyfGIACLcBGAsYHQ/s72-c/Picha%2B3.jpg)
KADIO AKAGU MAENDELEO YA JENGO LA KITUO KIPYA CHA POLISI MBANDE WILAYANI KONGWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-9s7LQVci4Tk/XqA5SezPWHI/AAAAAAALn0c/pnd--DHQVUMsNr6Upobu98T637zSyfGIACLcBGAsYHQ/s640/Picha%2B3.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/Picha-4-1.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Airtel yasaidia samani Polisi Oysterbay
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imeendelea kuunga mkono serikali kupitia Jeshi la Polisi Usalama Barabarani kwa kuwapatia vifaa vya ofisi kwa ajili ya Kituo cha Usalama Barabarani...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wz3pzQLdiZg/XuJN6GkQ-2I/AAAAAAALtdk/Oy1Venwc_ewKM-zBNgDMA_Lh6wQ_9YyswCLcBGAsYHQ/s72-c/26da6cd5-1fd1-4c01-bd8b-17c480d3d3a5.jpg)
JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI
Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.
Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...
5 years ago
MichuziKATIBU MKUU KADIO AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU MAGEREZA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA, WAJUMBE WAKAGUA UJENZI KIWANDA CHA USEREMALA, MSALATO DODOMA
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/sUP0ZTFjzlQ/default.jpg)
10 years ago
GPLIGP, MKUU WA MKOA WATEMBELEA KITUO CHA POLISI STAKISHARI, DAR