Magufuli awataka watanzania kudumisha amani
Katika harakati za kufanya kampeni katika mikoa tofauti nchini Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Pombe Magufuli amefanya kampeni katika jimbo la Chato ambalo amelitumikia kwa miaka ishirini kama Mbunge.
Akihutubia wananchi waliojitokeza kumlaki na kusikiliza vipaumbele vilivyoainishwa katika ilani ya Chama cha Mapinduzi, Dokta Magufuli amezungumzia maendeleo yaliyofikiwa na jimbo hilo chini ya uwakilishi wake kuwa ni kielelezo cha utendaji na ufanisi alionao katika...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV05 Oct
Watanzania wahimizwa kudumisha amani
Kiongozi Mkuu Kanisa la Jeshi la Wokovu Duniani Jenerali Adre Cox amewataka Watanzania kuendeleza kudumisha Amani iliyopo inayotamaniwa na Nchi nyingi Ulimwenguni kwa kuhakikisha wanashiriki Uchaguzi kwa Salama.
Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa la Jeshi la wokovu Duniani pia amewataka viongozi wa dini Nchini kwa Imani zote kuhakikisha wanaketi pamoja na kuwa na Lugha moja ya kuliombea Taifa ili Uchaguzi uwe Huru na Haki
Kiongozi huyo ambaye kwa mara ya mwisho alizuru nchi Tanzania mwaka 2002,...
10 years ago
Michuzi
Watanzania watakiwa kudumisha Amani na Mshikamano
Watanzania wametakiwa kuendeleza amani na mashikamano uliopo kwa maslahi ya Kizazi hiki na Kizazi Kijacho kwa kuenzi misingi ya Amani na Uzalendo iliyojengwa na Waasisi wa Taifa hili.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Amon Mpanju ambaye pia ni mwenyekiti wa wa shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania.
Nchi ni zaidi ya itikadi na Mihemko ya watu wachache hivyo ni lazima tuwaepuke wote wanaotaka...
10 years ago
VijimamboKAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR AWATAKA VIONGOZI WA SIASA NA WANANCHI KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA KAMPENI
5 years ago
CCM Blog
MANGULA AWATAKA WATANZANIA KUTOCHEZEA AMANI

Mangula ameyasema haya leo katika ukumbi wa maktaba Manyoni wakati alipohitimisha ziara yake ya kikazi ya siku saba kwenye Mkoa wa Singida ambapo amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi chache duniani...
10 years ago
Michuzi
KAMISHNA KOVA AWATAKA ASKARI WALIOMALIZA MAFUNZO YA UONGOZI MDOGO WA JESHI LA POLISI KUTUMIA UJUZI NA MAARIFA WALIYOYAPATA KUONDOA KERO NA KUDUMISHA AMANI KATIKA MITAA YOTE YA JIJI LA DAR



11 years ago
Dewji Blog03 May
Mkapa awataka watanzania kuandika katiba itakayodumisha amani
Rais mstaafu wa awamu ya tatu,Benjamen Williamu Mkapa (mwenye fimbo), akipokewa na mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Kone (wa pili kulia) kwenye viwanja vya zahanati ya kijiji cha Senenemfuru tarafa ya Mtinko wilaya ya Singida.Wa kwanza kushoto ni mwenyekiti CCM wilaya ya Singida, Narumba Hanje na anayefuatia ni mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi.
Rais mstaafu Mkapa ambaye pia ni msarifu wa taasisi ya Benjamin William Mkapa HIV/AIDS foundation (BMAF),jana amekabidhi nyumba 30 za...
10 years ago
MichuziWADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...
5 years ago
Michuzi
OLE SENDEKA AWATAKA WATANZANIA KUMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka, (kulia) akishuhudia mazishi ya mdogo wake Sumleck Ole Sendeka ambaye alikuwa Katibu mwenezi wa CCM Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, yaliyofanyika nyumbani kwao Losokonoi Kata ya Naberera.

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka (kulia) akipokea rambirambi kutoka kwa Katibu wa CCM Mkoani Manyara, Naomi Kapambala kwenye msiba wa mdogo wake Sumleck Ole Sendeka ambaye alikuwa Katibu mwenezi wa CCM wilayani Simanjiro aliyezikwa nyumbani...
10 years ago
MichuziKUDUMISHA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI
Mhonda amesema wananchi wahakikishe amani inakuwepo na hata wageni wanaoishi hapa kutokana na historia ya miaka ya nyuma ya hapa nchini kuwa ya amani.
Aidha amewataka watanzania wasikubali baadhi ya watu wachache kuja kuchochea utovu wa...