Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkapa awataka watanzania kuandika katiba itakayodumisha amani

DSC08124

Rais mstaafu wa awamu ya tatu,Benjamen Williamu Mkapa (mwenye fimbo), akipokewa na mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Kone (wa pili kulia) kwenye viwanja vya zahanati ya kijiji cha Senenemfuru tarafa ya Mtinko wilaya ya Singida.Wa kwanza kushoto ni mwenyekiti CCM wilaya ya Singida, Narumba Hanje na anayefuatia ni mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi.

Rais mstaafu Mkapa ambaye pia ni msarifu wa taasisi ya Benjamin William Mkapa HIV/AIDS foundation (BMAF),jana amekabidhi nyumba 30 za...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Magufuli awataka watanzania kudumisha amani

 

Katika harakati za kufanya kampeni katika mikoa tofauti nchini Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Pombe Magufuli amefanya kampeni katika jimbo la Chato ambalo amelitumikia kwa miaka ishirini kama Mbunge.

Akihutubia wananchi waliojitokeza kumlaki na kusikiliza vipaumbele vilivyoainishwa katika ilani ya Chama cha Mapinduzi, Dokta Magufuli amezungumzia maendeleo yaliyofikiwa na jimbo hilo chini ya uwakilishi wake kuwa ni kielelezo cha utendaji na ufanisi alionao katika...

 

5 years ago

CCM Blog

MANGULA AWATAKA WATANZANIA KUTOCHEZEA AMANI

  Na John MapepeleMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philipo Japhet Mangula  amewataka watanzania kutochezea  amani  na  kuyumbishwa na wanasiasia  na badala yake  waione amani walio nayo kama mtaji mkubwa wa kuwaletea maendeleo ya kweli kwa kizazi cha sasa na baadaye.
Mangula ameyasema haya leo katika ukumbi wa maktaba Manyoni wakati alipohitimisha ziara yake ya kikazi ya siku saba kwenye Mkoa wa Singida ambapo amesema Tanzania  ni miongoni mwa nchi chache duniani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Simba Chawene awataka Watanzania kuachwa kuingia barabarani kufanya maandamano ya kupinga mchakato wa Katiba

PIX 1 (3)

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Simba Chawene akichangia mada bungeni mjini Dodoma. (Picha na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma).

Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.

MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. George Simba Chawene amesikitishwa na kauli zilizotolewa na baadhi ya Wajumbe walioko nje ya bunge hilo kuhusiana na uhalali wa bunge hilo lililoko Kisheria.

Kauli hiyo ameitoa leo wakati akichangia mada katika mjadala ndani ya bunge hilo huku akisisitiza kuwa huo ni upotoshwaji...

 

10 years ago

Michuzi

Simba Chawene awataka Watanzania kuacha kuingia barabarani kufanya maandamano ya kupinga mchakato wa Katiba

Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. George Simba Chawene amesikitishwa na kauli zilizotolewa na baadhi ya Wajumbe walioko nje ya bunge hilo kuhusiana na uhalali wa bunge hilo linaloendelea Kisheria.
Kauli hiyo ameitoa leo wakati akichangia mada katika mjadala ndani ya bunge hilo huku akisisitiza kuwa huo ni upotoshwaji mkubwa na watu hao wanapaswa kuangaliwa kuhusu uzalendo wao.
Mhe. Chawene ameeleza kuwa inasikitisha zaidi hasa pale shutuma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania washauriwa kusoma, kuandika vitabu

WATANZANIA wameshauriwa kujenga utamaduni wa kusoma vitabu ili kupata maarifa ya kuwasaidia katika kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo. Wito huo ulitolewa na mwandishi wa vitabu, Evodius Katare, ambaye pia ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania milioni 14 hawajui kusoma, kuandika?

Wiki iliyopita tulichapisha habari ya kushtusha kwamba Watanzania milioni 14 hawajui kusoma wala kuandika. Ni habari ya kushtusha kwa sababu idadi hiyo ya wananchi mbumbumbu ni kubwa mno, kwa maana kwamba ni sawa na asilimia 33 ya Watanzania wote ambao ni milioni 44.

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

GPL

MKAPA AWATAKA WAKANDARASI NCHINI KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA WELEDI

RAis mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin Mkapa akifungua Mkutano wa mwaka wa Bodi ya Usajili wa Wakandarasi leo jijini Dar es salaam. Rais mstaafu wa awamu ya Pili Mhe.Benjamin Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Usajili wa Wakandarasi (CRB). Rais mstaafu,Benjamin Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani