Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania washauriwa kusoma, kuandika vitabu

WATANZANIA wameshauriwa kujenga utamaduni wa kusoma vitabu ili kupata maarifa ya kuwasaidia katika kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo. Wito huo ulitolewa na mwandishi wa vitabu, Evodius Katare, ambaye pia ni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Watanzania washauriwa kujenga utamaduni wa kusoma, kuandika vitabu

 Watanzania wameshauriwa kujenga utamaduni wa kusoma vitabu ili kuchota maarifa mbalimbali na kuwasaidia katika kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo. Wito huo ulitolewa na mwandishi wa vitabu, Bw. Evodius Katare (pichani) ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Utawa na Fedha wa Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (DART) akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.

“Watanzania wakijenga utamaduni huu wa kusoma vitabu itawasaidia sana kimaisha,” alisema na kuongeza kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania milioni 14 hawajui kusoma, kuandika?

Wiki iliyopita tulichapisha habari ya kushtusha kwamba Watanzania milioni 14 hawajui kusoma wala kuandika. Ni habari ya kushtusha kwa sababu idadi hiyo ya wananchi mbumbumbu ni kubwa mno, kwa maana kwamba ni sawa na asilimia 33 ya Watanzania wote ambao ni milioni 44.

 

11 years ago

Mwananchi

Ripoti:Wasiojua kusoma na kuandika waongezeka

Moja kati ya sababu inayochangia wanafunzi wa shule za msingi kumaliza shule bila kujua kusoma na kuandika inatokana na kukosa mwongozo kuanzia ngazi ya familia kushindwa kuwanunulia vitabu vya kujisomea.

 

10 years ago

Habarileo

Wasiojua kusoma,kuandika kutoenda darasa la tatu.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Kassim MajaliwaKATIKA kuhakikisha inaondoa kabisa tatizo la watu wasiojua kusoma na kuandika nchini, Serikali imefanya mabadiliko ambapo kuanzia sasa mtoto wa darasa la pili hawezi kuruhusiwa kuingia darasa la tatu kama hajui kusoma, kuandika na kuhesabu ili kuondoa tatizo la watoto wanaomaliza shule ya msingi wakiwa hawajui kusoma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto wengi hawajui kusoma kuandika — Utafiti

ASILIMIA 61 ya watoto walio na umri wa chini ya miaka tisa hawawezi kusoma Kiswahili, Kiingereza na kufanya hesabu za kuzidisha huku wanafunzi wa shule binafsi wakionekana kufanya vizuri katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 430 hawajui kusoma wala kuandika

>Imebainika kuwa wanafunzi 427, hawajui kusoma, kuhesabu wala kuandika katika shule mbili za msingi wilayani Rorya, mkoani Mara.

 

10 years ago

Habarileo

Watumishi washauriwa kusoma sheria za kazi

WATUMISHI wa idara, taasisi, mashirika mbalimbali ya serikali na binafsi wameshauriwa kujenga utamaduni wa kupenda kusoma na kupitia sheria na kanuni za kazi kabla ya kudai haki zao.

 

10 years ago

Mwananchi

Wahitimu 344 darasa la saba hawajui kusoma wala kuandika

Wanafunzi 344 waliomaliza darasa la saba mwaka huu mkoani hapa wamebainika kuwa hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu. Ofisa elimu wa mkoa, Nestory Mloka alitoa taarifa hiyo juzi katika kikao cha elimu kilichoitishwa kwa ajili ya kuchambua matokeo ya mtihani wa darasa la saba na kuwapangia shule wahitimu waliofaulu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Umewahi kusoma vitabu na watoto wako?

KUANZIA Novemba 24 hadi 29 mwaka huu, baadhi yetu ambao tunaamini katika kuwapa nafasi watoto wetu ya kujiandaa na kujijenga kiakili na kifikra kabla ya kuanza shule na wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani