Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania washauriwa kujenga utamaduni wa kusoma, kuandika vitabu

 Watanzania wameshauriwa kujenga utamaduni wa kusoma vitabu ili kuchota maarifa mbalimbali na kuwasaidia katika kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo. Wito huo ulitolewa na mwandishi wa vitabu, Bw. Evodius Katare (pichani) ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Utawa na Fedha wa Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (DART) akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.

“Watanzania wakijenga utamaduni huu wa kusoma vitabu itawasaidia sana kimaisha,” alisema na kuongeza kuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania washauriwa kusoma, kuandika vitabu

WATANZANIA wameshauriwa kujenga utamaduni wa kusoma vitabu ili kupata maarifa ya kuwasaidia katika kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo. Wito huo ulitolewa na mwandishi wa vitabu, Evodius Katare, ambaye pia ni...

 

11 years ago

Dewji Blog

“Wajengeeni watoto utamaduni wa kusoma vitabu” — Mama Salma Kikwete

DSC_0002

MKE wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi Tamasha la kwanza la vitabu vya watoto sambamba na kampeni ya usomaji yenye kauli mbiu ‘Mpe Kila Mtoto Kitabu’  kwenye uzinduzi uliofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam leo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)

Na Damas Makangale, MOblog Tanzania

MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amewataka walezi na wazazi nchini kuwanunulia vitabu watoto wao ili kuwajengea utamaduni wa kupenda kujisomea vitabu vya ziada...

 

5 years ago

Michuzi

Jamii yatakiwa Kuwa na Utamaduni wa Kusoma Vitabu ili kuongeza Maarifa.


Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Emmanuel Temu akizungumza kwa niaba ya Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe Waziri wa Wizara hiyo katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu kinachoitwa “Rais Magufuli na Serikali yake walivyobomoa Hekalu na kulijenga upya”kilichoandikwa na Mw.Projestus Vedasto Kabagambe uliofanyika jana Jijini Dodoma.Mwl.Projestus Vedasto Kabambe wa shule ya Sekondari Viwandani ambaye ni mwandishi wa kitabu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Benki yahimiza wanafunzi kujenga tabia ya kusoma vitabu

BENKI ya Afrika Tanzania imewataka wanafunzi nchini kujijengea tabia ya kusoma vitabu kama njia kuu itakayowawezesha kukuza upeo wao kiakili na kuweza kuchanganua mambo mbalimbali. Meneja Mwandamizi wa benki hiyo,...

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania milioni 14 hawajui kusoma, kuandika?

Wiki iliyopita tulichapisha habari ya kushtusha kwamba Watanzania milioni 14 hawajui kusoma wala kuandika. Ni habari ya kushtusha kwa sababu idadi hiyo ya wananchi mbumbumbu ni kubwa mno, kwa maana kwamba ni sawa na asilimia 33 ya Watanzania wote ambao ni milioni 44.

 

9 years ago

Dewji Blog

Watanzania Washauriwa Kujenga Kizazi Kisichokuwa na Maambukizi ya UKIMWI- “Kufikia sifuri tatu”

Dk. Nalin Nag Mshauri Mwandamizi wa madawa, aleji, upungufu wa kinga pamoja na magonjwa ya kuambukiza kutoka hospitali za Apollo; New Delhi.

Na Mwandishi wetu,

Siku ya UKIMWI duniani inaadhimishwa tarehe mosi desemba kila mwaka, kutoa fursa kwa jamii kuungana ulimwenguni kupiga vita gonjwa la UKIMWI, kuwapa moyo wale wote wanaoishi na virusi vya ukimwi na kuwakumbuka wote waliokufa kwa ugonjwa huu. Siku ya UKIMWI duniani iliadhimishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1988.

Zaidi ya miaka 30 toka...

 

11 years ago

Mwananchi

Ripoti:Wasiojua kusoma na kuandika waongezeka

Moja kati ya sababu inayochangia wanafunzi wa shule za msingi kumaliza shule bila kujua kusoma na kuandika inatokana na kukosa mwongozo kuanzia ngazi ya familia kushindwa kuwanunulia vitabu vya kujisomea.

 

10 years ago

Habarileo

Wasiojua kusoma,kuandika kutoenda darasa la tatu.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Kassim MajaliwaKATIKA kuhakikisha inaondoa kabisa tatizo la watu wasiojua kusoma na kuandika nchini, Serikali imefanya mabadiliko ambapo kuanzia sasa mtoto wa darasa la pili hawezi kuruhusiwa kuingia darasa la tatu kama hajui kusoma, kuandika na kuhesabu ili kuondoa tatizo la watoto wanaomaliza shule ya msingi wakiwa hawajui kusoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 430 hawajui kusoma wala kuandika

>Imebainika kuwa wanafunzi 427, hawajui kusoma, kuhesabu wala kuandika katika shule mbili za msingi wilayani Rorya, mkoani Mara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani