Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAPE AKIZUNGUMZA NA WANACHAMA WA CCM SAUT MWANZA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NAPE azungumza na wanachama wa CCM Tawi la SAUT jijini MWANZA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa CCM Tawi la SAUT Kambarage ambapo aliwaambia kuwa wasomi wa vyuo wanatakiwa kuchangia mawazo yao kwenye chama ambayo yatasaidia kuleta mabadiliko hasa ya kiuchumi ,alisema ni vyema kuja na mikakati ya kuonyesha uchumi umepanda kwa mwananchi kuliko huu wa sasa ambao unaonyesha uchumi umepanda lakini ni uchumi wa kwenye makaratasi.Uongozi Tawi la SAUT Kambarage ulimualika Katibu wa Itikadi na Uenezi kuja kushuhudia...

 

10 years ago

StarTV

CCM Mwanza chawataka wanachama kudumisha mshikamano

Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza kimewataka wanachama wake kudumisha mshikamano katika kipindi hiki cha uchaguzi ili kufanikisha azma ya chama hicho ya kushinda kwa kishindo kiti cha Urais, Majimbo na Kata.

Kutokuwepo kwa mshikamano baina ya wanachama hususani siku ya kupiga kura kunatajwa kukididimiza chama hicho na hivyo kusababisha kushindwa kufikia malengo husika.

Zimebaki siku chache watanzania wafanye maamuzi ya kumchagua kiongozi atakayefaa kuliongoza taifa la Tanzania.

Katika...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

NAPE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI LEO, ASEMA WALIOVURUGA UCHAGUZI WAADHIBIWE

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kutoa tathmini ya matokeo ya awali uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika juzi nchini kote.(PICHA NA BASHIR NKOROMONA BASHIR NKOROMO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetaka watendaji wote waliosababisha kuharibika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika baadhi ya maeneo nchini wachukuliwe hatua kali.

Kimesema, watendaji hao wanastahili...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA NAPE NNAUYE WATIKISA JIJI LA MWANZA LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara ya miezi 26 katika mikoa 31 nchini, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. 
Mkutano huo umefanyika kwenye viwanja vya Furahisha, Kirumba jijini Mwanza jioni ya leo. Ndugu Kinana ambaye katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye,...

 

11 years ago

Michuzi

SAUT MABINGWA SPORTS XTRA DAY 2014 MWANZA.

Mabigwa wa Sports Xtra Day 2014 mkoa wa Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa fainali dhidi ya NMB Mwanza, ambapo SAUT walitawazwa kuwa mabingwa mara baada ya kushinda kwa mikwaju ya penati 5 - 4. BOFYA PLAY KUSIKILIZA TAARIFA. Washindi nafasi ya pili NMB Mwanza katika picha ya pamoja kabla ya kuvaana na SAUT. Kandanda safi la kuvutia limeonekana katika mchezo wa fainali kila timu ikicheza kwa umakini mkubwa kuepuka makosa kiasi kilichosababisha mchezo huo kuamriwa...

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Mwandosya mgeni rasmi katika Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT),Mwanza

 Waziri wa Nchi(Kazi Maalum) Ofisi ya Rais Profesa Mark Mwandosya,Rev Dr Thadeus Mkwama,Makamu Mkuu wa SAUT,na Mwadhama Baba Askofu Desderius Rwoma,Mkuu wa Chuo,wakiwa kwenye maandamano ya ya taaluma, ya Maprofesa.  Maandamano yakiendelea Profesa Mwandosya,Rev Dr Thadeus Mkwama,Makamu Mkuu wa SAUT,na Mwadhama Baba Askofu Desderius Rwoma,Mkuu wa Chuo,wakiwa kwenye maandamano ya ya taaluma, ya Maprofesa.  Waziri Mwandosya akisalimiana na wakufunzi wa SAUT. Picha ya pamoja ya Prof. Mwandosya na...

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI WA SAUT MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA TSH MILIONI 1ALICHOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza Evarista Minja (kulia) akitoa fedha zake kwa njia ya M-PESA kiasi cha shilingi Milioni 1/-alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania na kukabidhiwa fedha hizo na Mkuu wa kampuni hiyo kanda ya ziwa Dominician Mkama (kushoto.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani