NAPE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI LEO, ASEMA WALIOVURUGA UCHAGUZI WAADHIBIWE
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kutoa tathmini ya matokeo ya awali uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika juzi nchini kote.(PICHA NA BASHIR NKOROMO
NA BASHIR NKOROMO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetaka watendaji wote waliosababisha kuharibika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika baadhi ya maeneo nchini wachukuliwe hatua kali.
Kimesema, watendaji hao wanastahili...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
NAPE: WALIOVURUGA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA WAADHIBIWE.


10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo14 Jan
10 years ago
CloudsFM11 Dec
IDRISS AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO KILIMANJARO HOTEL KEMPINSKI
Mshindi wa shindano la Big Brother Afrika,Idriss Sultan akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu ushindi alioupata kwenye shindano hilo wikiend iliyopita nchini Afrika Kusini.
10 years ago
Vijimambo
GWAJIMA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza na waandishi wa Habari leo.
Na Emmanuel Mtengwa
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amejitokeza leo na kujibu tuhuma zilizotolewa dhidi yake na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa wiki moja iliyopita.Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Askofu Gwajima amekanusha tuhuma za kuwa alimwambia Dk Slaa kuwa wapo maaskofu ambao walihongwa na...
10 years ago
Habarileo16 Dec
Waliovuruga uchaguzi mitaa kufukuzwa kazi
SERIKALI imesema itachukua hatua kali ikiwemo kuwafukuza kazi, kuwavua madaraka, kuwashusha vyeo na kuwakata mishahara viongozi walioshindwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa na kusababisha kasoro na kuvurugika kwa uchaguzi huo katika baadhi ya maeneo nchini.
10 years ago
Mwananchi16 Dec
Tamisemi: Waliovuruga uchaguzi sasa kukiona
10 years ago
Habarileo22 Dec
Waliovuruga uchaguzi Bunda wahojiwa siku 3
WATUMISHI kadhaa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wamehojiwa na vyombo vya ulinzi kwa siku tatu mfululizo kuanzia Jumatano iliyopita.
11 years ago
Michuzi08 Jun