GWAJIMA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-mCCvvoLTExU/Ve8ROIVvKuI/AAAAAAABU5Q/GNzmUdM7s_U/s72-c/6....Gwajima-akionesha-hisia-zake..jpg)
Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza na waandishi wa Habari leo.
Na Emmanuel Mtengwa
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amejitokeza leo na kujibu tuhuma zilizotolewa dhidi yake na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa wiki moja iliyopita.Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Askofu Gwajima amekanusha tuhuma za kuwa alimwambia Dk Slaa kuwa wapo maaskofu ambao walihongwa na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM11 Dec
IDRISS AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO KILIMANJARO HOTEL KEMPINSKI
Mshindi wa shindano la Big Brother Afrika,Idriss Sultan akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu ushindi alioupata kwenye shindano hilo wikiend iliyopita nchini Afrika Kusini.
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/woP7BD3xjAw/default.jpg)
10 years ago
MichuziTBS YAELEZA MAJUKUMU YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/IbsHjlT0tFc/default.jpg)
11 years ago
MichuziUONGOZI WA CHAMA CHA MCHEZO WA BASEBALL WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7ejC3l_pJKU/default.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania