TBS YAELEZA MAJUKUMU YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM LEO
Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu majukumu ya shirika hilo jinsi yanavyotekelezwa na kurugenzi ya udhibiti ubora. Kulia ni Ofisa Habari wa Idara Habari Maelezo, Frank Mvungi na Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTBS YAELEZA MAJUKUMU YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-mCCvvoLTExU/Ve8ROIVvKuI/AAAAAAABU5Q/GNzmUdM7s_U/s72-c/6....Gwajima-akionesha-hisia-zake..jpg)
GWAJIMA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-mCCvvoLTExU/Ve8ROIVvKuI/AAAAAAABU5Q/GNzmUdM7s_U/s640/6....Gwajima-akionesha-hisia-zake..jpg)
Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza na waandishi wa Habari leo.
Na Emmanuel Mtengwa
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amejitokeza leo na kujibu tuhuma zilizotolewa dhidi yake na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa wiki moja iliyopita.Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Askofu Gwajima amekanusha tuhuma za kuwa alimwambia Dk Slaa kuwa wapo maaskofu ambao walihongwa na...
11 years ago
MichuziUONGOZI WA CHAMA CHA MCHEZO WA BASEBALL WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO
9 years ago
MichuziMWILI WA BABA YAKE MWANAHABARI, PETER AMBILIKILE WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM, MAZISHI YAKE KUFANYIKA MBEYA LEO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
Vijimambo02 Jan
TAARIFA YA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI KWA WAANDISHI WA HABARI LEO
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/01/1.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/01/2.jpg)
Ndugu Waandishi wa Habari, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Watendaji wa Tume, Mabibi...
11 years ago
Dewji Blog22 Apr
Serikali yaeleza mipango ya kuendeleza masoko jijini Dar es Salaam
Afisa Uhusiano Manispaa ya Ilala Bi. Tabu Shaibu akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani)kuhusu mpango wa serikali wa kuendelea kuimarisha Masoko katika Jiji la Dar es Salaam, Wakati wa Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Masoko wa Manispaa hiyo Bw. Athuman Mbelwa.
Na Frank Mvungi- Maelezo
Serikali yaimarisha masoko 18 katika jiji la Dar es salaam katika kukabiliana na Ongezeko la Mahitaji ya Wananchi.
Hayo...