Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanga washauriwa kujenga mshikamano

Mbunge wa Mwanga, Profesa Jumanne MaghembeWANANCHI wa Jimbo la Mwanga lililopo mkoa wa Kilimanjaro wametakiwa kujenga mshikamano, umoja na upendo miongoni mwao, kwani kwa kufanya hivyo wataweza kujiletea maendeleo yao wenyewe na kuimarisha ustawi wa jamii katika jimbo hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania washauriwa kudumisha umoja, mshikamano

WATANZANIA wameshauriwa kuendeleza upendo miongoni mwao bila ya kubaguana kwa misingi ya rangi, kabila na dini, ili kuendeleza jamii na nchi kwa ujumla. Akizungumza wakati wa kuchangisha fedha kwa ajili...

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Polisi Moro ataka mshikamano kujenga timu

KOCHA mkuu mpya wa timu ya soka ya Polisi Morogoro, Joseph Lazaro amesema ana jukumu kubwa la kuijenga timu hiyo kwa kuwaunganisha wachezaji kucheza kitimu na umakini, ili kupata ushindi katika michezo inayofuata ya duru la pili la Ligi Daraja la Kwanza.

 

9 years ago

StarTV

Timu za ligi kuu shinyanga awaomba mashabiki kujenga mshikamano

 Wakati mkoa wa Shinyanga ukijipanga kuongeza zaidi timu za ligi kuu, mkuu wa mkoa huo Alhaj Ally Nassoro Lufunga amewakumbusha mashabiki kujenga mshikamano ili malengo hayo yatimie.

Mkuu huyo wa mkoa ambaye ni shabiki wa michezo amewataka mashabiki wa soka mkoani humo wajenge wivu wa kimaendeleo na siyo malumbano ambayo mwisho wake siyo mzuri.

 

Rai hiyo ya mkuu wa mkoa ameitoa baada ya kubaini kuwepo na kinyongo kutoka kwa mashabiki Mwadui FC kwa madai Serikali mkoani humo na wadau wa...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA UVCCM ATINGA LONGIDO,AWAHIMIZA WANACHAMA KUWA NA UMOJA.MSHIKAMANO KUJENGA CHAMA


KUTOKA ARUSHA

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Komred Kheri James ameendelea na Ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Longindo.

Pamoja na Mambo mengine Ndg Mwenyekiti  amehimiza Umuhimu wa Kukijenga Chama kusimamia Serikali kuwatumikia Wananchi pamoja na Kuimarisha Umoja na mshikamano ndani ya Jumuiya Na Chama kipindi hiki muhimu tunachoelekea katika Uchaguzi Mkuu Mwaka 2020.

tukutaneKazini





 

11 years ago

Michuzi

Watanzania washauriwa kujenga utamaduni wa kusoma, kuandika vitabu

 Watanzania wameshauriwa kujenga utamaduni wa kusoma vitabu ili kuchota maarifa mbalimbali na kuwasaidia katika kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo. Wito huo ulitolewa na mwandishi wa vitabu, Bw. Evodius Katare (pichani) ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Utawa na Fedha wa Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (DART) akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.

“Watanzania wakijenga utamaduni huu wa kusoma vitabu itawasaidia sana kimaisha,” alisema na kuongeza kuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watanzania Washauriwa Kujenga Kizazi Kisichokuwa na Maambukizi ya UKIMWI- “Kufikia sifuri tatu”

Dk. Nalin Nag Mshauri Mwandamizi wa madawa, aleji, upungufu wa kinga pamoja na magonjwa ya kuambukiza kutoka hospitali za Apollo; New Delhi.

Na Mwandishi wetu,

Siku ya UKIMWI duniani inaadhimishwa tarehe mosi desemba kila mwaka, kutoa fursa kwa jamii kuungana ulimwenguni kupiga vita gonjwa la UKIMWI, kuwapa moyo wale wote wanaoishi na virusi vya ukimwi na kuwakumbuka wote waliokufa kwa ugonjwa huu. Siku ya UKIMWI duniani iliadhimishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1988.

Zaidi ya miaka 30 toka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi Sekondari Mshikamano hatarini

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Mshikamano iliyopo Kijiji cha Rwanyo, wilayani Mbarali, Mbeya, wako hatarini kupoteza maisha kwa ajali kutokana na kukosekana kwa kivuko cha waenda kwa miguu katika eneo...

 

10 years ago

Habarileo

Mwinyi: Viongozi halmashauriendelezeni mshikamano

RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amewataka watendaji wa halmashauri nchini, kuendeleza mshikamano na ushirikiano katika dhamira moja ya kuwatumika wananchi ili waweze kupiga hatua katika maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani