Mwinyi: Viongozi halmashauriendelezeni mshikamano
RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amewataka watendaji wa halmashauri nchini, kuendeleza mshikamano na ushirikiano katika dhamira moja ya kuwatumika wananchi ili waweze kupiga hatua katika maendeleo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Aug
Alhaj Ali Hassan Mwinyi asema bado viongozi wanatumia madaraka yao kujinufaisha
Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (katikati) akifungua semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma.
![Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akifungua semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_0018.jpg)
Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akifungua semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma.
![Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Salome Suzete Kaganda (kwanza kushoto) akizungumza kwenye semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_00032.jpg)
Kamishna...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-HYHNyC9fBek/VV2DapE9nfI/AAAAAAAAcEo/WtZLsxf_CAU/s72-c/mt1.jpg)
NAPE AHIMIZA MSHIKAMANO MTAMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-HYHNyC9fBek/VV2DapE9nfI/AAAAAAAAcEo/WtZLsxf_CAU/s640/mt1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-2JdTOb2gsqU/VV2Dbmx9lDI/AAAAAAAAcEw/AcDNVTkmwcE/s640/mt2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-UPVPQnN2Wz8/VV2DcU_y8GI/AAAAAAAAcE4/2sWgQh9HOoE/s640/mt4.jpg)
11 years ago
Habarileo07 Mar
WiLDAF yapongeza mshikamano wa wanawake
SHIRIKA la Wanawake katika Sheria na Maendeleo (WiLDAF), limepongeza ushiriki na mshikamano wa wanawake kuelekea kupata katiba mpya kwa namna walivyojitokeza kwa wingi na kutoa maoni yao.
11 years ago
Habarileo26 Apr
Mwanga washauriwa kujenga mshikamano
WANANCHI wa Jimbo la Mwanga lililopo mkoa wa Kilimanjaro wametakiwa kujenga mshikamano, umoja na upendo miongoni mwao, kwani kwa kufanya hivyo wataweza kujiletea maendeleo yao wenyewe na kuimarisha ustawi wa jamii katika jimbo hilo.
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
Wanafunzi Sekondari Mshikamano hatarini
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Mshikamano iliyopo Kijiji cha Rwanyo, wilayani Mbarali, Mbeya, wako hatarini kupoteza maisha kwa ajali kutokana na kukosekana kwa kivuko cha waenda kwa miguu katika eneo...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-cyoUCcab-To/VFokOc0rYjI/AAAAAAAGvpQ/5A2tUDyZXCQ/s72-c/unnamed.jpg)
Watanzania watakiwa kudumisha Amani na Mshikamano
Watanzania wametakiwa kuendeleza amani na mashikamano uliopo kwa maslahi ya Kizazi hiki na Kizazi Kijacho kwa kuenzi misingi ya Amani na Uzalendo iliyojengwa na Waasisi wa Taifa hili.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Amon Mpanju ambaye pia ni mwenyekiti wa wa shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania.
Nchi ni zaidi ya itikadi na Mihemko ya watu wachache hivyo ni lazima tuwaepuke wote wanaotaka...
10 years ago
Habarileo16 Oct
Makongoro Nyerere ahimiza umoja, mshikamano
MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Makongoro Nyerere, ametaka Watanzania kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwa kufuata misingi ya upendo, kujitolea na mshikamano.
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Watanzania washauriwa kudumisha umoja, mshikamano
WATANZANIA wameshauriwa kuendeleza upendo miongoni mwao bila ya kubaguana kwa misingi ya rangi, kabila na dini, ili kuendeleza jamii na nchi kwa ujumla. Akizungumza wakati wa kuchangisha fedha kwa ajili...
11 years ago
Mwananchi02 May
MAONI: Mshikamano ndiyo utawakomboa wafanyakazi