Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Timu za ligi kuu shinyanga awaomba mashabiki kujenga mshikamano

 Wakati mkoa wa Shinyanga ukijipanga kuongeza zaidi timu za ligi kuu, mkuu wa mkoa huo Alhaj Ally Nassoro Lufunga amewakumbusha mashabiki kujenga mshikamano ili malengo hayo yatimie.

Mkuu huyo wa mkoa ambaye ni shabiki wa michezo amewataka mashabiki wa soka mkoani humo wajenge wivu wa kimaendeleo na siyo malumbano ambayo mwisho wake siyo mzuri.

 

Rai hiyo ya mkuu wa mkoa ameitoa baada ya kubaini kuwepo na kinyongo kutoka kwa mashabiki Mwadui FC kwa madai Serikali mkoani humo na wadau wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kocha Polisi Moro ataka mshikamano kujenga timu

KOCHA mkuu mpya wa timu ya soka ya Polisi Morogoro, Joseph Lazaro amesema ana jukumu kubwa la kuijenga timu hiyo kwa kuwaunganisha wachezaji kucheza kitimu na umakini, ili kupata ushindi katika michezo inayofuata ya duru la pili la Ligi Daraja la Kwanza.

 

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU: Ni vita Mbeya, Dar hadi Shinyanga

>Unaweza kusema ni kama vita ya kuanzia Mbeya, Dar es Salaam hadi Shinyanga leo wakati vigogo vya soka nchini wakisaka pointi tatu muhimu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Timu Ligi Kuu zimsikilize Mayanga

KOCHA Msadizi wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Salum Mayanga amezitaka timu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania bara kutumia mji wa Tukuyu kama sehemu ya mazoezi ya kujiandaa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Timu 14 Ligi Kuu, mambo muhimu 14

Wachezaji wa timu 14 za Ligi Kuu Bara wameanza likizo tangu Jumapili ili kupisha kipindi cha usajili wa dirisha dogo baada ya raundi saba kumalizika huku mambo kadhaa na yenye umuhimu yakijitokeza.

 

10 years ago

Mwananchi

Timu zilizopanda Ligi Kuu zijipange

Nazipongeza African Sport ya Tanga, Mwadui ya Shinyanga, Toto Africa ya Mwanza na Majimaji ya Songea kwa kupanda daraja na kuingia Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

 

11 years ago

Mwananchi

Timu tano zawania Ligi Kuu

Wakati Polisi Morogoro ikiwa ya kwanza kupanda Ligi Kuu msimu wa 2014/2015, timu nyingine tano za ligi daraja la kwanza zinachuana kuwania nafasi mbili zilizobakia.

 

10 years ago

Mwananchi

Mashabiki wenye vituko Ligi Kuu Bara

Kipendacho roho ula nyama mbichi, ndivyo ilivyo katika soka kwani kila kukicha mashabiki wa timu mbalimbali wanabuni staili ambayo itanogesha uhamasishaji katika timu wanayoishangilia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani