Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashabiki wenye vituko Ligi Kuu Bara

Kipendacho roho ula nyama mbichi, ndivyo ilivyo katika soka kwani kila kukicha mashabiki wa timu mbalimbali wanabuni staili ambayo itanogesha uhamasishaji katika timu wanayoishangilia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA : Bajeti za kibabe usajili wa Tanzania Bara

Usajili wa wachezaji Ligi Kuu Tanzania Bara kwa ajili ya msimu ujao umekaa kibabe tofauti na misimu mingine.

 

9 years ago

StarTV

IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..

WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...

 

10 years ago

Mwananchi

Sare tu Ligi Kuu bara

Simba imeshindwa kujinasua kwenye nafasi za chini kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kutoka sare tasa ya 0-0 dhidi ya Coastal Union katika siku iliyotawaliwa na sare lukuki kwenye viwanja vingi nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Ligi Kuu Bara bil 6.6/-

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), jana lilisaini mkataba mpya na Kampuni ya simu ya Vodacom wa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara wenye thamani ya Sh bilioni 6.6 kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Coastal yakamia Ligi Kuu bara

UONGOZI wa Coastal Union ya Tanga, imeamua kufanya usajili wa nguvu kwa lengo la kupata kikosi bora kitakachofanya vizuri katika Ligi Kuu ya Bara iliyopangwa kuanza Septemba 20, ikishindanisha timu...

 

11 years ago

GPL

Ligi Kuu Bara kuendelea leo

Kwenye Uwanja wa taifa, mabingwa watetezi Yanga watakuwa na kibarua kigumu mbele ya Maafande wa Ruvu Shooting, ikumbukwe katika mzunguko wa kwanza vijana wa Jangwani walifanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0. Mechi zingine Kagera Sugar ipo kwenye Uwanja wa nyumbani wa Kaitaba wakikaribisha Rhino Rangers, Coastal Union  ya Tanga itakuwa na shughuli pevu dhidi ya Mbeya City. Maafande wa JKT Oljoro wapo nyumbani wakiisubiri...

 

11 years ago

GPL

Azam bingwa Ligi Kuu Bara

Mshambuliaji wa Azam Fc, Gaudence Mwaikimba akishangilia bao huku akifuatwa na mwenzake, Kipre Tchetche(kulia), nyuma yao ni mwenzao, Himid Mao katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, jana. Azam bingwa ligi kuu Na Martha Mboma, Mbeya
ILIKUWA kama vita lakini hatimaye mechi imefanyika, matokeo yamepatikana na rekodi imewekwa kwenye… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tuzo za ligi kuu Tanzania bara

Makocha Hans Plujim na Goran Kopunovic, wanagombea tuzo ya kocha bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani