Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuzo za ligi kuu Tanzania bara

Makocha Hans Plujim na Goran Kopunovic, wanagombea tuzo ya kocha bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA : Bajeti za kibabe usajili wa Tanzania Bara

Usajili wa wachezaji Ligi Kuu Tanzania Bara kwa ajili ya msimu ujao umekaa kibabe tofauti na misimu mingine.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Tanzania Bara kuanza leo

Ligi kuu ya Tanzania bara, Vodacom inaanza mzunguko wa pili leo baada ya kusimama tangu Novemba saba.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Tanzania bara kuendelea leo

Ligi Kuu Tanzania bara Itaendelea tena leo katika viwanja saba ikiwa ni michezo ya mzunguko wa pili

 

9 years ago

Mwananchi

Matatizo sugu ya Ligi Kuu Tanzania Bara

Ligi Kuu Tanzania Bara hivi sasasa imesimama huku Azam FC ikiwa kileleni ikifuatiwa kwa ukaribu na Yanga wakati timu za African Sports na JKT Ruvu zikining’inia mkiani mwa ligi hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndanda FC na mikakati Ligi Kuu Tanzania Bara

HISTORIA ya soka ya Mkoa wa Mtwara ni kama imeandikwa upya baada ya timu ya Ndanda FC kuwapa faraja wapenzi na mashabiki wa soka ya kuona Ligi Kuu Tanzania bara...

 

10 years ago

Mwananchi

Dyamwale: Muasisi wa Ligi Kuu Tanzania Bara

“Mwaka 1977 ndipo Ligi Kuu Bara ilianza. Kuanza kwa ligi hiyo ilikuwa ni moja ya mipango yangu nilipochaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Tanzania (FAT), sasa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Tanzania Bara ni Yanga&Coastal

Yanga waonya wachezaji wake kutoamini “ndumba” ama uchawi katika kushinda mechi na badala yake wajitume uwanjani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani