Ligi kuu Tanzania Bara kuanza leo
Ligi kuu ya Tanzania bara, Vodacom inaanza mzunguko wa pili leo baada ya kusimama tangu Novemba saba.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili16 Sep
Ligi kuu Tanzania bara kuendelea leo
Ligi Kuu Tanzania bara Itaendelea tena leo katika viwanja saba ikiwa ni michezo ya mzunguko wa pili
10 years ago
GPLMECHI ZA LEO NA KESHO LIGI KUU YA TANZANIA BARA
Oktoba 4, 2014 Polisi Moro v Kagera Sugar - Jamhuri Coastal Union v Ndanda FC - Mkwakwani Simba SC v Stand United - Taifa Prisons v Azam FC - Sokoine Ruvu Shooting v Mbeya City - Mabatini Oktoba 5, 2014 Yanga v JKT Ruvu - Taifa Mtibwa Sugar v Mgambo JKT -…
10 years ago
GPLMECHI ZA LEO LIGI KUU YA TANZANIA BARA SEPTEMBA 27, 2014
Simba v Polisi Moro - Taifa Mtibwa v Ndanda - Manungu Azam v Ruvu - Chamanzi Mbeya v Coastal - Sokoine Mgambo v Stand - Mkwakwani
9 years ago
MichuziWADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
10 years ago
Mwananchi29 Jun
LIGI KUU BARA : Bajeti za kibabe usajili wa Tanzania Bara
Usajili wa wachezaji Ligi Kuu Tanzania Bara kwa ajili ya msimu ujao umekaa kibabe tofauti na misimu mingine.
10 years ago
Vijimambo11 years ago
GPLLigi Kuu Bara kuendelea leo
Kwenye Uwanja wa taifa, mabingwa watetezi Yanga watakuwa na kibarua kigumu mbele ya Maafande wa Ruvu Shooting, ikumbukwe katika mzunguko wa kwanza vijana wa Jangwani walifanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0.
Mechi zingine Kagera Sugar ipo kwenye Uwanja wa nyumbani wa Kaitaba wakikaribisha Rhino Rangers, Coastal Union ya Tanga itakuwa na shughuli pevu dhidi ya Mbeya City.
Maafande wa JKT Oljoro wapo nyumbani wakiisubiri...
9 years ago
GPL10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Tuzo za ligi kuu Tanzania bara
Makocha Hans Plujim na Goran Kopunovic, wanagombea tuzo ya kocha bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania