Ligi Kuu Bara kuendelea leo
Kwenye Uwanja wa taifa, mabingwa watetezi Yanga watakuwa na kibarua kigumu mbele ya Maafande wa Ruvu Shooting, ikumbukwe katika mzunguko wa kwanza vijana wa Jangwani walifanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0. Mechi zingine Kagera Sugar ipo kwenye Uwanja wa nyumbani wa Kaitaba wakikaribisha Rhino Rangers, Coastal Union ya Tanga itakuwa na shughuli pevu dhidi ya Mbeya City. Maafande wa JKT Oljoro wapo nyumbani wakiisubiri...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili16 Sep
Ligi kuu Tanzania bara kuendelea leo
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-KYAjID9Q37Q/Xq6d4zYhO1I/AAAAAAALo8M/ADvAnTAs2tsgoFS42U9MxMotsbuOnsH1QCLcBGAsYHQ/s72-c/Viungopic.jpg)
RAIS DK. MAGUFULI AFIKIRIA KURUHUSU LIGI KUU TANZANIA BARA KUENDELEA
BAADA ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara pamoja na aina nyingine za ligi za michezo mbalimbali kusimama kutokana na janga la Corona, Rais Dk.John Magufuli amesema anaangalia uwezekao wa kuruhusu ligi kuendelea ili Watanzania wawe wanaangalia ligi hizo.
Ametoa kauli hiyo leo akiwa Chato mkoani Geita baada ya kumuapisha Waziri mpya wa Katiba na Sheria Dk.Mwigulu Nchemba ambapo Rais amefafanua anafikiria kwa siku zinazikuja aruhusu ligi iendelee angalau watu wawe...
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
Ligi kuu Tanzania kuendelea leo
9 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-KA6nJefl_OY/Vhz2Nh9QNII/AAAAAAABXWI/O-PQzS8I5FQ/s640/vpl6.png)
10 years ago
BBCSwahili26 Dec
Ligi kuu Tanzania Bara kuanza leo
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jxmvA08zmRoKxgOngCEAROpzfCxi6mnq8EAMB56BefuT9Lc4WfXmK2wyqABh4Cy7YmWi1otzrloiXMJCOrIrfyhRUGwYvxCp/LIGIKUU.jpg)
MECHI ZA LEO NA KESHO LIGI KUU YA TANZANIA BARA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jxmvA08zmRoKxgOngCEAROpzfCxi6mnq8EAMB56BefuT9Lc4WfXmK2wyqABh4Cy7YmWi1otzrloiXMJCOrIrfyhRUGwYvxCp/LIGIKUU.jpg)
MECHI ZA LEO LIGI KUU YA TANZANIA BARA SEPTEMBA 27, 2014
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/11988698_914435541937929_2335803857829808847_n.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s72-c/001.Ferrao.jpg)
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s640/001.Ferrao.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3rPnvKAR8Ko/VfJghZutsEI/AAAAAAAH39A/NbQnv8YM4SA/s640/002.Ferrao.jpg)
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...