Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HARAMBEE YA Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Canada (ZANCANA) YAFANA

Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Canada (ZANCANA), imechangisha zaidi ya Dola 1500 za Canada kwa ajili ya waathirika wa hali ya hewa nchini Tanzania.Wanajumuiya ya ZANCANA wakipata picha ya pamoja baada ya ibada ya dua maalum ya kuwaombea walioathirika na mvua za masika, nchini TanzaniaKatika taarifa yake ambayo Swahilivilla imeipata nakala yake, Zancana imesema kwamba mnamo tarehe 9 Mei, 2015, jumuiya hiyo iliandaa mkutano maalum wa wanachama wake katika jiji la Toronto nchini Canada....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HARAMBEE YA ZANCANA YAFANA

Wanajumuiya ya ZANCANA wakipata picha ya pamoja baada ya ibada ya dua maalum ya kuwaombea walioathirika na mvua za masika, nchini Tanzania
Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Canada (ZANCANA), imechangisha zaidi ya Dola 1500 za Canada kwa ajili ya waathirika wa hali ya hewa nchini Tanzania.Katika taarifa yake ambayo Swahilivilla imeipata nakala yake, Zancana imesema kwamba mnamo tarehe 9 Mei, 2015, jumuiya hiyo iliandaa mkutano maalum wa wanachama wake katika jiji la Toronto nchini Canada....

 

9 years ago

Michuzi

Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) yaandaa maandamano jijini new york

Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) inapenda kuwaarifu Wazanzibari, Watanzania na Wapenda Amani wote ulimwenguni kuhudhuria katika maandamano ya kushinikiza kumaliza mchakato wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika huko nyumbani Zanzibar tarehe 25/10/2015. Maandamano hayo yatafanyika siku ya Ijumaa tarehe 18/12/2015 kwenye viunga vya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York kuanzia saa nne asubuhi (10:00 AM) hadi saa sita mchana (12:00 PM)....

 

10 years ago

Vijimambo

HARAMBEE NA CHAKULA CHA JIONI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI ALBANY, NEW YORK YAFANA SANA.


 Esther Brown kutoka Uganda mmoja katika uongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Albany, New York akitoa utambulisho kwa viongozi wa Jumuiya hiyo katika sherehe ya harambe ya chakula cha jioni ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Albany jimbo la New York, Jumuiya ikiwa inajumuisha nchi tano ambazo ni Rwanda, Burundi, Tanzania, Uganda na Kenya. Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akiojitambulisha na baadae kumkaribisha Rais wa Jumuiya hiyo.Rais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Robert...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA QAMER YA CANADA PAMOJA NA JUMUIYA YA TAQWA TANZANIA YATOA MISAADA PEMBE

VITANDA mbali mbali vya Hospitali vilivyotolewa na Jumuiya ya Qamer Foundation ya nchini Canada, ikishirikiana na Jumuiya ya TAQWA Tanzania, kwa ajili ya Hospitali Kisiwani Pemba kabla ya kukabidhiwa kwa uongozi wa Wizara ya Afya Pemba.MABOKSI mbali mbali yenye madawa kwa ajili ya Hospitali pamoja na mikoba ya Watoto mayatima, vilivyotolewa na Jumuiya ya Qamer Foundation ya nchini Canada, ikishirikiana na Jumuiya ya TAQWA Tanzania, mikoba kwa aajili ya wanafunzi wa skuli.WANANCHI mbali mbali...

 

9 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya Qamer ya Canada pamoja na Jumuiya ya Taqwa Tanzania yatoa misaada Pemba

pembaVitanda mbali mbali vya Hospitali vilivyotolewa na Jumuiya ya Qamer Foundation ya nchini Canada, ikishirikiana na Jumuiya ya TAQWA Tanzania, kwa ajili ya Hospitali Kisiwani Pemba kabla ya kukabidhiwa kwa uongozi wa Wizara ya Afya Pemba.(Picha zote na Hanifa Salum, PEMBA.)

pembawMaboksi mbali mbali yenye madawa kwa ajili ya Hospitali pamoja na mikoba ya Watoto mayatima, vilivyotolewa na Jumuiya ya Qamer Foundation ya nchini Canada, ikishirikiana na Jumuiya ya TAQWA Tanzania, mikoba kwa aajili ya...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WAISLAM WAISHIO DC,MARYLAND, VIRGINIA NCHINI MAREKANI (TAMCO) WALIVYO ADHIMISHA TAMCO FAMILY DAY


Watatu kutoka kulia ni mwenyekiti wa tamco Bw. Ali Mohamed akifutiwa na muasisi alietowa wazo la kuanzishwa jumuiya ya waislam ya watanzania  waishio washington DC na vitongoji vyake, mzee Yussf Kalala wa nne kutoka kulia, wakiwa na baadhi ya viongozi wengine katika siku ya TAMCO FAmily Day
Muasisisi wa TAMCO, Mzee Yussuf Kalala akiwakaribisha meza kuu Ali kiba na mdogo wake Abdu Kiba kuwasalimia watanzania waliohudhuria katika TAMCO Family Day TAMCO Family Day hufanyika kila mwaka kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA JUMUIYA YA WAZANZIBARI SCANDINAVIA

Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazanzibari Scandinavia ndugu Idarus A Sharif akifunguwa mkutano wa mwaka wa Jumuiya hiyo na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Mhe Salum Maulid nchini Sweden. Mjumbe maalum ndugu Mussa Baucha wa Jumuiya ya GoZanzibar (German) akitoa maeleze kuhusu utekelezaji wa miradi na mikakati mbali ya jumuiya hiyo kwa zanzibarPicha ya pamoja ya wana Jumuiya Scandinavia na Ujumbe kutoka Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar na Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania Sweden.Bw.Jakob...

 

5 years ago

Michuzi

HARAMBEE KUCHANGIA MIUNDOMBINIU YA SHULE YA MSINGI KASHATO MKOANI KATAVI YAFANA

Na Aidan Felson,Mpanda-Katavi.
Harambee ya kuchangia maendeleo ya miundombinu kwa Shule ya Msingi Kashato iliyopo Kata ya Makanyagio Halmashauri ya Manispaa ya Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi imeanza na tayari Diwani wa Kata hiyo Mhe. Haidari Sumri ameanza kwa vitendo kuonesha njia.
Kwa kutambua umuhimu wa elimu, Diwani Sumri amekabidhi mchango wake wa matofali 3,000 yenye thamani ya Shilingi Milioni 4 ili kuongeza miundombinu katika Shule hiyo iliyoanzishwa Mwaka 1963.
Shule ya Kashato...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani