Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HARAMBEE YA ZANCANA YAFANA

Wanajumuiya ya ZANCANA wakipata picha ya pamoja baada ya ibada ya dua maalum ya kuwaombea walioathirika na mvua za masika, nchini Tanzania
Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Canada (ZANCANA), imechangisha zaidi ya Dola 1500 za Canada kwa ajili ya waathirika wa hali ya hewa nchini Tanzania.Katika taarifa yake ambayo Swahilivilla imeipata nakala yake, Zancana imesema kwamba mnamo tarehe 9 Mei, 2015, jumuiya hiyo iliandaa mkutano maalum wa wanachama wake katika jiji la Toronto nchini Canada....

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HARAMBEE YA Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Canada (ZANCANA) YAFANA

Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Canada (ZANCANA), imechangisha zaidi ya Dola 1500 za Canada kwa ajili ya waathirika wa hali ya hewa nchini Tanzania.Wanajumuiya ya ZANCANA wakipata picha ya pamoja baada ya ibada ya dua maalum ya kuwaombea walioathirika na mvua za masika, nchini TanzaniaKatika taarifa yake ambayo Swahilivilla imeipata nakala yake, Zancana imesema kwamba mnamo tarehe 9 Mei, 2015, jumuiya hiyo iliandaa mkutano maalum wa wanachama wake katika jiji la Toronto nchini Canada....

 

5 years ago

Michuzi

HARAMBEE KUCHANGIA MIUNDOMBINIU YA SHULE YA MSINGI KASHATO MKOANI KATAVI YAFANA

Na Aidan Felson,Mpanda-Katavi.
Harambee ya kuchangia maendeleo ya miundombinu kwa Shule ya Msingi Kashato iliyopo Kata ya Makanyagio Halmashauri ya Manispaa ya Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi imeanza na tayari Diwani wa Kata hiyo Mhe. Haidari Sumri ameanza kwa vitendo kuonesha njia.
Kwa kutambua umuhimu wa elimu, Diwani Sumri amekabidhi mchango wake wa matofali 3,000 yenye thamani ya Shilingi Milioni 4 ili kuongeza miundombinu katika Shule hiyo iliyoanzishwa Mwaka 1963.
Shule ya Kashato...

 

5 years ago

CCM Blog

HARAMBEE KUCHANGIA MIUNDOMBINIU YA SHULE YA MSINGI KASHATO MKOANI KATAVI YAFANA

Na Aidan Felson,Mpanda-Katavi.
Harambee ya kuchangia maendeleo ya miundombinu kwa Shule ya Msingi Kashato iliyopo Kata ya Makanyagio Halmashauri ya Manispaa ya Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi imeanza na tayari Diwani wa Kata hiyo Mhe. Haidari Sumri ameanza kwa vitendo kuonesha njia.
Kwa kutambua umuhimu wa elimu, Diwani Sumri amekabidhi mchango wake wa matofali 3,000 yenye thamani ya Shilingi Milioni 4 ili kuongeza miundombinu katika Shule hiyo iliyoanzishwa Mwaka 1963.
Shule ya Kashato...

 

10 years ago

Vijimambo

HARAMBEE NA CHAKULA CHA JIONI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI ALBANY, NEW YORK YAFANA SANA.


 Esther Brown kutoka Uganda mmoja katika uongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Albany, New York akitoa utambulisho kwa viongozi wa Jumuiya hiyo katika sherehe ya harambe ya chakula cha jioni ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Albany jimbo la New York, Jumuiya ikiwa inajumuisha nchi tano ambazo ni Rwanda, Burundi, Tanzania, Uganda na Kenya. Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akiojitambulisha na baadae kumkaribisha Rais wa Jumuiya hiyo.Rais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Robert...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

BBCSwahili

Harambee stars yarejea nyumbani

Baada ya kukataa kusafiri kwenda Darfur kuchuana na timu ya taifa ya Sudan kwenye mechi ya kirafiki siku ya Alhamisi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Harambee ya Bugadea yakusanya mil. 8/-

SHILINGI milioni 8.8 zimekusanywa katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Afya cha Buganguzi, wilayani Muleba iliyoratibiwa na Umoja wa Maendeleo ya Buganguzi (Bugadea). Akizungumza katika harambee hiyo iliyofanyika...

 

10 years ago

Habarileo

Harambee ya Amref yakusanya bil. 1.9/-

HARAMBEE ya mfuko wa kampeni ya ‘Jitolee kwa ajili ya akina mama wa Afrika’, iliyoongozwa na Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal juzi, imewezeshakupatikanaSh bilioni 1.9, ikiwa ni zaidi ya lengo la Sh bilioni moja lililowekwa na Shirika linalojihusisha na masuala ya afya la Amref.

 

10 years ago

GPL

SEKONDARI YA ILBORU KUFANYIWA HARAMBEE

Katibu wa Ilboru Alumni Foundation, Elianshisaria Munisi (wa kwanza kushoto) akizungumza katika kikao hicho na pembeni ni wajumbe wa kamati hiyo. Wanahabari wakiwasikiliza wanachama waliosoma Ilboru.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani