HARAMBEE NA CHAKULA CHA JIONI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI ALBANY, NEW YORK YAFANA SANA.
Esther Brown kutoka Uganda mmoja katika uongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Albany, New York akitoa utambulisho kwa viongozi wa Jumuiya hiyo katika sherehe ya harambe ya chakula cha jioni ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Albany jimbo la New York, Jumuiya ikiwa inajumuisha nchi tano ambazo ni Rwanda, Burundi, Tanzania, Uganda na Kenya. Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akiojitambulisha na baadae kumkaribisha Rais wa Jumuiya hiyo.
Rais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Robert...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-XKfcZHvkwWA/VCg2xm6jR_I/AAAAAAAAnWs/lqq6nqRBNKo/s72-c/12.jpg)
hafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund yafana jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-XKfcZHvkwWA/VCg2xm6jR_I/AAAAAAAAnWs/lqq6nqRBNKo/s1600/12.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tcqsRuQmZhE/VCg2ySvjhsI/AAAAAAAAnWw/dOwT6RVazNA/s1600/10.jpg)
10 years ago
VijimamboJumuiya ya Afrika Mashariki yaandaa mafunzo kwa Bodi ya chakula, madawa na vipodozi
10 years ago
VijimamboBalozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe, Liberata Mulamula aanda chakula cha jioni kwa baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao kwa ukanda wa Afrika Mashariki nyumbani kwake Bethesda ,Maryland tarehe 11/02/2015
Balozi wa Ethiopia nchini Marekani na mwenyekiti wa mabalozi wa kanda ya Afrika Mashariki Mhe, Girma Birru akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi, Mhe Liberata Mulamula.
Balozi wa Uganda nchini Marekani Oliver Wonekha ambaye ni mmoja wa mabalozi kutoka kanda ya Afrika Mashariki akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi. Mhe Liberata Mulamula.
Balozi wa Burundi nchini Marekani Mhe, Ernest Ndabashinze akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi Mhe, Liberata Mulamula.
Balozi...
10 years ago
Michuzi12 May
HARAMBEE YA Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Canada (ZANCANA) YAFANA
![](https://scontent-iad.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/v/t34.0-12/11100651_10155511526635247_944224250_n.jpg?oh=8e6a4a704534266740676492772875b8&oe=55542DAC)
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Dkt. Bilal ashiriki hafla ya chakula cha jioni cha hisani kuchangia mfuko wa kampeni wa jitolee kwa ajili ya kinamama wa Afrika, Jijini Dar
Makamua wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jana usiku Oktoba 9, 2014 jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa Push Mobile, Freddie Manento, wakati wa hafla ya Chakula...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-lU-1SyXaH_c/VDe1Y0KFftI/AAAAAAADJPk/tvBZvbqdfL0/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI CHA HISANI KUCHANGIA MFUKO WA KAMPENI WA JITOLEE KWA AJILI YA KINAMAMA WA AFRIKA, JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-lU-1SyXaH_c/VDe1Y0KFftI/AAAAAAADJPk/tvBZvbqdfL0/s1600/01.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-CcL3X1rcI-A/VDe1n9ur4AI/AAAAAAADJQM/dCTsGfv2gt8/s1600/1.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-E2ufmSZqK4Q/U16kfOEmtKI/AAAAAAAFd0Y/0IRjETDqilg/s72-c/unnamed+(43).jpg)
uzinduzi wa kituo cha taarifa katika maktaba ya Jumuiya ya Afrika mashariki, Arusha
![](http://2.bp.blogspot.com/-E2ufmSZqK4Q/U16kfOEmtKI/AAAAAAAFd0Y/0IRjETDqilg/s1600/unnamed+(43).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-IRZPQaZKZQ8/U16kha7VUhI/AAAAAAAFd00/QJi3GOsN_WU/s1600/unnamed+(44).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-e6MgDrPjaZI/U16kfOvnpdI/AAAAAAAFd0c/jOF-yEBtSOQ/s1600/unnamed+(45).jpg)
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI AONGOZA MAHAFALI YA TISA YA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA (MOCU)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-h6wXoWdJFeY/VNK3kNNARvI/AAAAAAAAAmo/bKmbjKPVTzU/s72-c/IYK_Valentine.png)
Karibuni Semina na Chakula cha Jioni — Valentine Day Februari 14, 2015 Kuanzia saa kumi na mbili jioni 6:00pm EST
![](http://4.bp.blogspot.com/-h6wXoWdJFeY/VNK3kNNARvI/AAAAAAAAAmo/bKmbjKPVTzU/s1600/IYK_Valentine.png)