MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI CHA HISANI KUCHANGIA MFUKO WA KAMPENI WA JITOLEE KWA AJILI YA KINAMAMA WA AFRIKA, JIJINI DAR
Makamua wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jana usiku Oktoba 9, 2014 jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa Push Mobile, Freddie Manento, wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Dkt. Bilal ashiriki hafla ya chakula cha jioni cha hisani kuchangia mfuko wa kampeni wa jitolee kwa ajili ya kinamama wa Afrika, Jijini Dar
Makamua wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jana usiku Oktoba 9, 2014 jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa Push Mobile, Freddie Manento, wakati wa hafla ya Chakula...
10 years ago
Vijimambohafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund yafana jijini Dar
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA LA KIGANGO CHA MT. DOMINIC SAVIO TEMEKE MIKOROSHINI, DAR ES SALAAM
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KIKAO CHA DHARULA CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog21 Mar
Dkt. Bilal ashiriki matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio Temeke Mikoroshini, Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na kuongoza matembezi ya Hisani kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke Mikoroshini. Matembezi hayo yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi kuanzia Chang’ombe Polisi hadi Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokelewa na mwakilishi wa Askofu Titus...
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AHUDHULIA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI ILIYOANDALIWA NA NSSF JIJINI ARUSJ
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT BILAL MGENI RASMI KWENYE HAFLA YA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MISITU YA MILIMA
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Makamu wa Rais Dkt. Bilal ashiriki kuaga mwili wa mama mzazi wa Dkt. Edward Hosea, Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya marehemu Esther Gigwa, Mama mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dkt. Edward Hosea, wakati alipofika kushiriki kuaga mwili huo nyumbani kwa mkurugenzi huyo, Masaki jijini Dar es Salaam, leo Feb 27, 2015. (Picha na OMR).
Wanafamilia wafiwa wakiwa katika shughuli hiyo ya maziko.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji,...
10 years ago
MichuziAmref kuandaa hafla ya chakula cha jioni kuchangia mafunzo ya wakunga nchini Tanzania