Amref kuandaa hafla ya chakula cha jioni kuchangia mafunzo ya wakunga nchini Tanzania
Meneja Mradi Uboreshaji wa Uzazi Salama wa Chama cha Wakunga Tanzania (Tama), Martha Rimoy, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo, wakati Taasisi ya Amref Health Africa, ilipokuwa ikielezea kuhusu kuandaa hafla ya chakula cha jioni, Oktoba 9 kwenye Hoteli ya Serena, kwa ajili ya kuchangisha fedha za kufundishia wakunga ili kuokoa afya ya mama na mtoto, katika kampeni ijulikanayo kama 'Stand up for African Mother'. Wengine pichani ni Mkurugenzi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-XKfcZHvkwWA/VCg2xm6jR_I/AAAAAAAAnWs/lqq6nqRBNKo/s72-c/12.jpg)
hafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund yafana jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-XKfcZHvkwWA/VCg2xm6jR_I/AAAAAAAAnWs/lqq6nqRBNKo/s1600/12.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tcqsRuQmZhE/VCg2ySvjhsI/AAAAAAAAnWw/dOwT6RVazNA/s1600/10.jpg)
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Dkt. Bilal ashiriki hafla ya chakula cha jioni cha hisani kuchangia mfuko wa kampeni wa jitolee kwa ajili ya kinamama wa Afrika, Jijini Dar
Makamua wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jana usiku Oktoba 9, 2014 jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa Push Mobile, Freddie Manento, wakati wa hafla ya Chakula...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-lU-1SyXaH_c/VDe1Y0KFftI/AAAAAAADJPk/tvBZvbqdfL0/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI CHA HISANI KUCHANGIA MFUKO WA KAMPENI WA JITOLEE KWA AJILI YA KINAMAMA WA AFRIKA, JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-lU-1SyXaH_c/VDe1Y0KFftI/AAAAAAADJPk/tvBZvbqdfL0/s1600/01.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-CcL3X1rcI-A/VDe1n9ur4AI/AAAAAAADJQM/dCTsGfv2gt8/s1600/1.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfhixL*GBLClhe*Pin7r7IA6ueto16ekSaji16w9b0yNoH6Dy9i-klBu3Tsi9sG4pBCWIssm4QtpHWs1AyGGbY8U/NSSF1.jpg?width=650)
JK AHUDHURIA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI ILIYOANDALIWA NA NSSF JIJINI ARUSHA
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-qcOSqzHeXPA/U3KCOtemhXI/AAAAAAAFhcU/HZ81XwEc_eU/s1600/1.jpg)
JK KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI ILIYOANDALIWA NA NSSF JIJINI ARUSHA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qcOSqzHeXPA/U3KCOtemhXI/AAAAAAAFhcU/HZ81XwEc_eU/s72-c/1.jpg)
RAIS KIKWETE AHUDHULIA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI ILIYOANDALIWA NA NSSF JIJINI ARUSJ
![](http://1.bp.blogspot.com/-qcOSqzHeXPA/U3KCOtemhXI/AAAAAAAFhcU/HZ81XwEc_eU/s1600/1.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Es66-Mpros8/Vii8j2MLFwI/AAAAAAAIBqQ/ygQZpfpqkhY/s72-c/Exim%2BMtwara%2B1.png)
BENKI YA EXIM YAANDAA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KWA WATEJA WAKE MTWARA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Es66-Mpros8/Vii8j2MLFwI/AAAAAAAIBqQ/ygQZpfpqkhY/s640/Exim%2BMtwara%2B1.png)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ohOfIcHqojA/Vii8jdjeTQI/AAAAAAAIBqM/mUqtojtIV7I/s640/EXIM%2BMtwara%2B2.png)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TjgPuo53eHc/VBmqmkkYWiI/AAAAAAAGkKQ/kOaJ_-xB1V0/s72-c/unnamed%2B(26).jpg)
Changia mafunzo ya wakunga, okoa maisha ya mama na mtoto - Amref health africa
![](http://1.bp.blogspot.com/-TjgPuo53eHc/VBmqmkkYWiI/AAAAAAAGkKQ/kOaJ_-xB1V0/s1600/unnamed%2B(26).jpg)
10 years ago
VijimamboBalozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe, Liberata Mulamula aanda chakula cha jioni kwa baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao kwa ukanda wa Afrika Mashariki nyumbani kwake Bethesda ,Maryland tarehe 11/02/2015
Balozi wa Ethiopia nchini Marekani na mwenyekiti wa mabalozi wa kanda ya Afrika Mashariki Mhe, Girma Birru akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi, Mhe Liberata Mulamula.
Balozi wa Uganda nchini Marekani Oliver Wonekha ambaye ni mmoja wa mabalozi kutoka kanda ya Afrika Mashariki akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi. Mhe Liberata Mulamula.
Balozi wa Burundi nchini Marekani Mhe, Ernest Ndabashinze akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi Mhe, Liberata Mulamula.
Balozi...