Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe, Liberata Mulamula aanda chakula cha jioni kwa baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao kwa ukanda wa Afrika Mashariki nyumbani kwake Bethesda ,Maryland tarehe 11/02/2015

 
Balozi wa Ethiopia nchini Marekani na mwenyekiti wa mabalozi wa kanda ya Afrika Mashariki Mhe, Girma Birru akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi, Mhe Liberata Mulamula.


Balozi wa Uganda nchini Marekani Oliver Wonekha ambaye ni mmoja  wa mabalozi kutoka kanda ya Afrika Mashariki akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi. Mhe  Liberata Mulamula.


 Balozi wa  Burundi nchini Marekani Mhe, Ernest Ndabashinze akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi Mhe, Liberata Mulamula.


 Balozi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA MKEWE CHAKULA CHA JIONI NYUMBANI KWAKE

 Picha ya pamoja ya Balozi Liberata Mulamula na Mhe. Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakiwa pamoja na marafiki zao wa siku nyingi Bi.Toyin Rose(kushoto) na mumewe.   Picha ya pamoja Mhe. Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa pamoja na mwenyeji wao Mhe. Libarata Mulamula. Picha ya pamoja na Maafisa Ubalozi
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

GPL

BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA MKEWE CHAKULA CHA JIONI NYUMBANI KWAKE‏

 Juu na chini ni Maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na msafara wa Mhe. Benjamin Mkapa wakifuatilia mzungumuzo hayo.  Juu na chini ni Balozi…

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Balozi Liberata Mulamula awaaga waTanzania nyumbani kwake

Leo, Jumamosi Julai 25, 2015, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula na familia yake waliwaalika waTanzania wote kwa ajili ya nyama choma ya kuagana nao.
Pia, alipata fursa ya kuzungumza machache.
Karibu
Broadcast live streaming video on Ustream

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFANYA MAUNGUMZO NA BAADHI YA MABALOZI WANAOZIWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe. Jasem Najem wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Septemba 18, 2015.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Katarina Rangnitt wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE


Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI. Posted: 30 Apr 2015 12:57 PM PDT Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti

Mbunge wa Mvomero Mh, Amos Makalla ameridhia pendekezo la wananchi kumuona Waziri Mkuu Mh, Mizengo Pinda kufuatia mapigano ya wakulima na wafugaji yaliyotokea wiki iliyopita ambapo watu watatu walipoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya wafugaji kulishia Mazao ya wakulima katika mashamba yaliopo bonde la mgongola.  Kutokana na hali hiyo, Mbunge huyo kwa kushirikiana na Mkuu wa wilaya na kamati ya ulinzi na usalama waliitisha mkutano wa hadhara kijiji cha Kugugu kuongea na...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE

Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani