Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stendi mpya ya Ubungo yaanza kutumika

MAMLAKA YA Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imesema Kituo cha Ubungo kilichoko Mawasiliano Towers kitaanza kutumika rasmi kuanzia leo baada ya kukamilika kwa ujenzi wa lami, choo, Kituo cha Polisi, taa pamoja na vibao vinavyoonesha eneo basi linapokwenda.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Sheria mpya yaanza kutumika TZ licha ya upinzani

Leo ni mwanzo wa kutumika kwa sheria ya makosa ya mtandaoni iliyoleta mzozo Tanzania na sawa waweza kutupwa jela jihadhari

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA MABASI STENDI YA UBUNGO

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba katika stendi ya Ubungo jijini Dar es Salaam kuna mgomo wa madereva waendeshayo mabasi yaendayo mikoani. Mgomo huo umeanza leo kama ambavyo muungano wa madereva wa vyombo vya usafiri waliahidi wakidai kutotatuliwa kero zao na serikali. Taarifa zaidi pamoja na picha vitawajia hivi punde.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wafanyabiashara ondoeni vibanda stendi ya Ubungo’

WAFANYABIASHARA wenye vibanda vya kukatia tiketi katika stendi ya Ubungo, ambako mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) unaendelea, wametakiwa kuviondoa ili kupisha ujenzi wa mradi huo. Katibu Mkuu Ofisi ya...

 

9 years ago

Michuzi

ABILIA WAKIWA STENDI KUU YA MABASI YA KWENDA MIKOANI (UBUNGO)

Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam wakisubilia usafili wa kuelekea Mikoa mbalimbali, leo.
Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam, wakiimalisha usalama wa malizao, leo.Abilia wakiwa wamejipumzisha chini ya mti katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam leo.Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii.

 

9 years ago

MillardAyo

Kama umepanga kusafiri sikukuu, nina picha 20 na kinachoendela stendi ya Ubungo

Ikiwa tuanelekea mwishoni mwa mwaka 2015, kuna mengi yanakuwa yakiendelea katika msimu huu ambapo pia baadhi ya watu hupendelea kwenda makwao kwaajili ya kuwasabahi ndugu na jamaa. Lakini hali imekuwa tofauti kidogo leo Dec 23 2015 katika kituo cha mabasi Ubungo Terminal Dar es salaam mara baada ya baadhi ya abiria kukwama kusafiri kutokana na kukosa […]

The post Kama umepanga kusafiri sikukuu, nina picha 20 na kinachoendela stendi ya Ubungo appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

mambo yazidi kunoga stendi ndogo ya mabasi Ubungo jijini Dar

Wafanyabiashara ndogondogo (MACHINGA), wakiendelea kufanya biashara zao kama walivyokutwa na mpiga picha wetu kwenye kituo cha daladala ubungo na pembezoni mwa barabara jijini ya Morogoro jijini Dar es Salaam, hivyo kusababisha kero kwa watumiaji wa barabara hiyo,eneo hilo lilipigwa marufuku kwa shughuli za aina yoyote na Mansipaa ya Kinondoni lakini jamaa kama wamekaidi amri ile halali kabisa.Picha na Philemon Solomon,Globu ya Jamii.

 

5 years ago

CCM Blog

MAGARI YA WASHAWASHA, FIRE YATUMIKA KUNYUNYUZIA DAWA STENDI YA MABASI UBUNGO

   Zoezi la kunyunyizia dawa ya kuua vijidudu katika maeneo ya mikusanyiko ya watu wengi Jiji la Dar es salaam limeendelea usiku wakuamkia leo katika standi kuu ya mabasi ya Ubungo na mitaa yake ikiwa ni moja ya jitihada za Serikali kukabiliana na virusi vya Corona ambavyo ni tishio kwa dunia kwa sasa.

 

10 years ago

GPL

STENDI YA MAKUMBUSHO YAANZA KUHARIBIKA

Baadhi ya sehemu katika kituo zilizoharibika. TAKRIBANI miezi kadhaa toka stendi mpya ya Makumbusho ianze kufanya kazi baada ya ile ya Mwenge kuhamishwa, leo  kamera yetu imenasa baadhi ya sehemu zikiwa zimeanza kuharibika. Haijafahamika kama hali hiyo inatokana na uchakachuaji wakati wa ujenzi wake au ni uzito wa magari yanayopita hapo.… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Gesi yaanza kutumika Tanzania

Mradi wa Gesi kusini mwa Tanzaia,mkoani Mtwara umefikia asilimia 94 na tayari imeanza kutumika katika baadhi ya maeneo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani