Gesi yaanza kutumika Tanzania
Mradi wa Gesi kusini mwa Tanzaia,mkoani Mtwara umefikia asilimia 94 na tayari imeanza kutumika katika baadhi ya maeneo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Oct
Stendi mpya ya Ubungo yaanza kutumika
MAMLAKA YA Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imesema Kituo cha Ubungo kilichoko Mawasiliano Towers kitaanza kutumika rasmi kuanzia leo baada ya kukamilika kwa ujenzi wa lami, choo, Kituo cha Polisi, taa pamoja na vibao vinavyoonesha eneo basi linapokwenda.
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
Treni ya umeme yaanza kutumika Ethiopia
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Umeme gesi asilia sasa kutumika Desemba
9 years ago
BBCSwahili01 Sep
Sheria mpya yaanza kutumika TZ licha ya upinzani
10 years ago
MichuziUMEME WA GESI ASILIA KUANZA KUTUMIKA HIVI KARIBUNI
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Repoa yaanza utafiti wa gesi
TAASISI ya Utafiti na Kupunguza Umaskini nchini (Repoa) imeanza utafiti wa miaka mitano kuhusu rasilimali ya gesi na faida zake kwa uchumi wa Tanzania. Utafiti huo unashirikisha wataalam kutoka Norway...
9 years ago
Habarileo23 Nov
TPDC yaanza utafiti mpya wa mafuta na gesi Eyasi
SHIRIKA la Maendeleo la Petroli Tanzania (TPDC) leo linatarajiwa kuanza utafiti wa awali wa mafuta na gesi kwa kutumia ndege katika eneo la kitalu cha Eyasi, Wembere na Mandawa . Utafiti huu wa awali, unatajwa kwamba utafanyika pia katika mikoa ya Arusha, Singida, Simiyu, Tabora na Lindi.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3Ya9Oz7YINA/VdXdhvQ8KsI/AAAAAAAHym8/THXT4kUpxHE/s72-c/No.1.jpg)
TPDC YAANZA KUZALISHA GESI YA KWANZA HUKO MNAZI BAY, MTWARA
![](http://4.bp.blogspot.com/-3Ya9Oz7YINA/VdXdhvQ8KsI/AAAAAAAHym8/THXT4kUpxHE/s400/No.1.jpg)
Zoezi hili ni muendelezo wa ukamilishaji wa mradi mkubwa wa Serikali wa kuzalisha gesi asilia kwa madhumuni ya kuzalisha umeme hapa nchini.
Akiongea wakati wa zoezi hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa...
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Unazikumbuka pesa hizi zilizopata kutumika Tanzania? Je. ulipata kuzitumia?
Pichani ni baadhi ya fedha za kitanzania zilizokuwa katika mtindo wa noti. Ambapo wakati huo thamani ya fedha hizo zilikuwa ni kubwa mno.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Enzi za miaka ya nyuma wakati wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere hizi zilikuwa pesa halali na zenye thamani kubwa. Leo zimebaki kuwa urembo tu hasa kwa watu wengi majumbani mwao. Mbali na kuwa ni urembo pia wapo watu wanatumia pesa hizi kwa minajiri mbalimbali ikiwemo ushirikina hasa kwa waganga wa kienyeji...