Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Treni ya umeme yaanza kutumika Ethiopia

Wasafiri jijini Addis Ababa wamejawa na msisimko baada ya kuzinduliwa kwa treni ya umeme ya kubeba abiria mijini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitka kutangaza kuwa treni za abiria za kwenda Kigoma hazitofika katika stesheni ya Kigoma badala yake zitatumia kituo kidogo cha Katosho.
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni  kutofika katika stesheni ya Kigoma  unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini  Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la  stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...

 

10 years ago

BBCSwahili

Gesi yaanza kutumika Tanzania

Mradi wa Gesi kusini mwa Tanzaia,mkoani Mtwara umefikia asilimia 94 na tayari imeanza kutumika katika baadhi ya maeneo.

 

10 years ago

Habarileo

Stendi mpya ya Ubungo yaanza kutumika

MAMLAKA YA Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imesema Kituo cha Ubungo kilichoko Mawasiliano Towers kitaanza kutumika rasmi kuanzia leo baada ya kukamilika kwa ujenzi wa lami, choo, Kituo cha Polisi, taa pamoja na vibao vinavyoonesha eneo basi linapokwenda.

 

9 years ago

BBCSwahili

Sheria mpya yaanza kutumika TZ licha ya upinzani

Leo ni mwanzo wa kutumika kwa sheria ya makosa ya mtandaoni iliyoleta mzozo Tanzania na sawa waweza kutupwa jela jihadhari

 

9 years ago

Bongo5

Ethiopia wazindua treni ya kisasa mjini Addis Ababa

Huduma ya treni ya kisasa imezinduliwa rasmi September 21 jijini Addis Ababa, Ethiopia. Mradi huo mkubwa uliogharimu dola za kimarekani milioni 470 ulifadhiliwa na China Exim. Siku ya Jumapili ilikuwa nzuri kwa wakazi wa Addis Ababa kwani walipata usafiri wa bure wakati wa uzinduzi wa treni hiyo ya kisasa. Treni hiyo itakuwa ikibeba watu 15,000 […]

 

11 years ago

Mwananchi

Sh5 mil kutumika kuleta umeme

Chama cha Msingi cha Wakulima wa Tumbaku, Kata ya Kisanga wilayani Sikonge, kimetenga Sh5 milioni za mauzo ya tumbaku kwa msimu wa 2013/14 kwa ajili ya kutunisha mfuko maalumu wa kuweka umeme kwenye vijiji vitatu.

 

10 years ago

Mtanzania

Treni mpya yaanza safari za Mwanza

Na Asifiwe George, Dar es Salaam
TRENI mpya ya kisasa ya Deluxe jana imeanza safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea Mwanza.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Meneja Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Midladjy Maez, alisema safari hii ni ya pili tangu treni hiyo izinduliwe Aprili Mosi mwaka huu ambapo ilikwenda Kigoma.
“Safari za Delux zitakuwa kwa wiki mara moja, siku ya Jumapili itaondoka stesheni ya Dar es Salaam saa 2:00 usiku ikiwa na mabehewa 15.
“Treni hiyo itakuwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Umeme gesi asilia sasa kutumika Desemba

Wizara ya Nishati na Madini inatarajia kuanza kutumia umeme wa gesi asilia kutoka kwenye moja ya mitambo yake iliyopo Kinyerezi jijini Dar es Salaam, ifikapo Desemba mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dola milioni 136 kutumika mradi umeme wa upepo

DOLA milioni 136 za Marekani zitatumika katika mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia nguvu za upepo kwa awamu ya kwanza ya uzalishaji wa MW 50 mkoani Singida. Fedha hizo pia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani