Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Treni mpya yaanza safari za Mwanza

Na Asifiwe George, Dar es Salaam
TRENI mpya ya kisasa ya Deluxe jana imeanza safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea Mwanza.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Meneja Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Midladjy Maez, alisema safari hii ni ya pili tangu treni hiyo izinduliwe Aprili Mosi mwaka huu ambapo ilikwenda Kigoma.
“Safari za Delux zitakuwa kwa wiki mara moja, siku ya Jumapili itaondoka stesheni ya Dar es Salaam saa 2:00 usiku ikiwa na mabehewa 15.
“Treni hiyo itakuwa na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Treni Mpya Ya Kisasa Yaanza Safari za Mwanza kuelekea Dar



Treni mpya ya kisasa ya Deluxe jana imeanza safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea Mwanza.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Meneja Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Midladjy Maez, alisema safari hii ni ya pili tangu treni hiyo izinduliwe Aprili Mosi mwaka huu ambapo ilikwenda Kigoma.“Safari za Delux zitakuwa kwa wiki mara moja, siku ya Jumapili itaondoka stesheni ya Dar es Salaam saa 2:00 usiku ikiwa na mabehewa 15.
“Treni hiyo itakuwa na madaraja matatu ambapo daraja la...

 

10 years ago

Vijimambo

FASTJET YAZINDUA SAFARI MPYA KUTOKA KILIMANJARO KWENDA MWANZA

MenejaMkuuwaShirika la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akiongea na wandishi wa habari Mkoani Arusha leo wakati wa uzinduzi wa safari mpya ya ndege ya Fastjet kutoka Kilimanjaro kwenda Mwanza na Kilimanjaro kwenda Entebe Uganda, pembeni yake kuliani Lucy Mbogoro Afisa Mahusianona Masoko na kushoto ni Neema David Afisa Biashara.MenejaMkuuwaShirika la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akimkabidhitiketi mwandishi wa habari toka Tbc Sechelela Kongola aliyeshinda zawadi ya tiketi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la Ndege la FASTJET lazindua safari mpya kutoka Kilimanjaro — Mwanza na Kilimanjaro — Entebe Uganda

1

Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akiongea na wandishi wa habari Mkoani Arusha leo wakati wa uzinduzi wa safari mpya ya ndege ya Fastjet kutoka Kilimanjaro kwenda Mwanza na Kilimanjaro kwenda Entebe Uganda, pembeni  yake kulia ni Lucy Mbogoro Afisa Mahusiano na Masoko  na kushoto ni Neema David Afisa Biashara wote toka shirika hilo.

6

2

Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akimkabidhi tiketi mwandishi wa habari toka Tbc Sechelela...

 

9 years ago

BBCSwahili

Treni ya umeme yaanza kutumika Ethiopia

Wasafiri jijini Addis Ababa wamejawa na msisimko baada ya kuzinduliwa kwa treni ya umeme ya kubeba abiria mijini humo.

 

11 years ago

Habarileo

Safari za treni TRL zasitishwa

UONGOZI wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) umesitisha safari za treni ya abiria kutokana na kutetereka kwa mojawapo ya madaraja katika Bonde la Mto Ruvu katika reli ya kati.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Safari za treni kuanza leo

KAMPUNI ya Reli Tanzania (TRL) imesema safari za treni ya abiria zilizosimama kutokana na reli kuharibiwa na mafuriko zitaanza leo. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam,...

 

11 years ago

Habarileo

Safari treni za TRL kuanza tena

TRENI ya abiria iendayo bara inatarajiwa kuanza tena huduma zake wiki ijayo baada ya kukamilika ukarabati wa daraja eneo la Bonde la Mto Ruvu, mkoani Pwani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Safari za treni kuanza tena Denmark

Usafiri wa treni nchini Denmark umejea tena baada ya hapo kusitishwa kwenda na kutoka Ujerumani baada ya kutokuelewana kati ya polisi na mamia ya wahamiaji.

 

11 years ago

Mwananchi

TRL yasitisha safari za treni kwa siku saba

Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), imesitisha safari za treni ya Reli ya kati kwa siku saba kutokana na kubainika hitilafu katika Daraja la Ruvu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani