Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Safari za treni kuanza leo

KAMPUNI ya Reli Tanzania (TRL) imesema safari za treni ya abiria zilizosimama kutokana na reli kuharibiwa na mafuriko zitaanza leo. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Safari treni za TRL kuanza tena

TRENI ya abiria iendayo bara inatarajiwa kuanza tena huduma zake wiki ijayo baada ya kukamilika ukarabati wa daraja eneo la Bonde la Mto Ruvu, mkoani Pwani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Safari za treni kuanza tena Denmark

Usafiri wa treni nchini Denmark umejea tena baada ya hapo kusitishwa kwenda na kutoka Ujerumani baada ya kutokuelewana kati ya polisi na mamia ya wahamiaji.

 

10 years ago

Michuzi

TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA KUANZA TENA SAFARI ZAKE MACHI 24, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL unafuraha kuwataarifu  abiria wote na wananchi kwa jumla  kuwa huduma ya treni ya abiria itaanza upya hapo siku ya Jumanne Machi 24, 2015 kuanzia Stesheni ya Dar es Salaam saa 11 jioni. 
Wananchi wanaotaka kusafiri wafike stesheni zilizo karibu yao kwa ajili ya kukata tiketi ya safari hiyo. 
Huduma ya usafiri wa reli ilisitishwa wiki mbili zilizopita Machi 6, 2015 baada ya eneo la tuta la  reli kati ya Stesheni za Kilosa na Kidete kukuharibiwa vibaya...

 

11 years ago

Habarileo

Treni ya abiria bara kuanza leo

HUDUMA ya usafiri wa treni ya abiria kuelekea bara zinaanza rasmi leo, huku, Kampuni ya Reli ya Tanzania (TRL) ikiwahakikishia wananchi kutokuwa na hofu juu ya usafiri huo.

 

10 years ago

Michuzi

TRL YASITISHA SAFARI ZA TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA KUANZIA LEO

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL umetangaza kusitishwa huduma za safari ya treni abiria kuanzia leo Ijumaa Machi 06, 2015 kufuatia eneo la tuta la reli kati ya stesheni za Kilosa na Kidette kuharibika kwa mafuriko ya mvua inayonyesha hivi  sasa katika eneo hilo.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo Wahandisi na Mafundi wa TRL wako katika eneo la tukio wakifanya tathmini ya jinsi zoezi la ukarabati utakavyofanyika na kwa muda gani.
Ikifafanua zaidi taarifa imeeleza kuwa tathmini ya mafundi hao...

 

10 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA KUANZA "SAFARI YA MATUMAINI" MCHANA WA LEO

Gari iliyombeba Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa ikipita nje ya uwanja wa Sheih Amri Abeid, jijini Arusha mapema leo asubuhi wakati akielekea kwenye Ofisi za CCM Mkoa. Mh. Lowassa anatarajia kulihutubia taifa mchana wa leo kwenye uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid, ikiwa ni sehmu ya kutangaza kwake nia yake ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mtangaza nia ya...

 

11 years ago

Habarileo

Safari za treni TRL zasitishwa

UONGOZI wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) umesitisha safari za treni ya abiria kutokana na kutetereka kwa mojawapo ya madaraja katika Bonde la Mto Ruvu katika reli ya kati.

 

10 years ago

Mtanzania

Treni mpya yaanza safari za Mwanza

Na Asifiwe George, Dar es Salaam
TRENI mpya ya kisasa ya Deluxe jana imeanza safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea Mwanza.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Meneja Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Midladjy Maez, alisema safari hii ni ya pili tangu treni hiyo izinduliwe Aprili Mosi mwaka huu ambapo ilikwenda Kigoma.
“Safari za Delux zitakuwa kwa wiki mara moja, siku ya Jumapili itaondoka stesheni ya Dar es Salaam saa 2:00 usiku ikiwa na mabehewa 15.
“Treni hiyo itakuwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

TRL yasitisha safari za treni kwa siku saba

Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), imesitisha safari za treni ya Reli ya kati kwa siku saba kutokana na kubainika hitilafu katika Daraja la Ruvu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani