Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Safari za treni TRL zasitishwa

UONGOZI wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) umesitisha safari za treni ya abiria kutokana na kutetereka kwa mojawapo ya madaraja katika Bonde la Mto Ruvu katika reli ya kati.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Safari treni za TRL kuanza tena

TRENI ya abiria iendayo bara inatarajiwa kuanza tena huduma zake wiki ijayo baada ya kukamilika ukarabati wa daraja eneo la Bonde la Mto Ruvu, mkoani Pwani.

 

11 years ago

Mwananchi

TRL yasitisha safari za treni kwa siku saba

Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), imesitisha safari za treni ya Reli ya kati kwa siku saba kutokana na kubainika hitilafu katika Daraja la Ruvu.

 

10 years ago

Michuzi

TRL YASITISHA SAFARI ZA TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA KUANZIA LEO

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL umetangaza kusitishwa huduma za safari ya treni abiria kuanzia leo Ijumaa Machi 06, 2015 kufuatia eneo la tuta la reli kati ya stesheni za Kilosa na Kidette kuharibika kwa mafuriko ya mvua inayonyesha hivi  sasa katika eneo hilo.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo Wahandisi na Mafundi wa TRL wako katika eneo la tukio wakifanya tathmini ya jinsi zoezi la ukarabati utakavyofanyika na kwa muda gani.
Ikifafanua zaidi taarifa imeeleza kuwa tathmini ya mafundi hao...

 

9 years ago

Michuzi

TRL YASITISHA KWA MUDA SAFARI ZA TRENI YA BARA KUTOKANA NA MAFURIKO KATI YA MOROGORO NA DODOMA



Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL umetangaza kusitisha kwa muda kuanzia jana Januari 01, 2016, huduma zake baada ya eneo la reli ya kati ya Kilosa mkoani  Morogoro na Gulwe mkoani Dodoma tuta la reli kukumbwa na Mafuriko.  Kwa mujibu wa taarifa za kifundi eneo lililoathiriwa na mafuriko ni kubwa hivyo Wahandisi na Mafundi  wa TRL wako eneo la mafuriko  kutathmini ukubwa wa kazi yenyewe. Kutokana na  uamuzi huo treni ya abiria kutoka bara ilibidi safari yake ikatizwe ilipofika Dodoma na...

 

10 years ago

Michuzi

MABEHEWA 22 YA TRENI YA ABIRIA YA DELUXE NI MAPYA! - TRL

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unachukua fursa hii kukanusha vikali taarifa potofu zilizoandikwa na baadhi ya magazeti kuwa mabehewa 22 ya abiria yaliyonunuliwa na Serikali kutoka Korea ya Kusini ni mabovu. Mabehewa haya yalikwisha fanyiwa majaribio na TRL kuridhika kuwa hayana kasoro yoyote.
Hoja kuwa tokea yawasili nchini mwezi Desemba , 2014 hayajaanza kutumika kwa vile ni mabovu ni upotoshaji wa ukweli. Ukweli ni kwamba kuanzia Novemba 24, 2014 TRL ilipeleka ...

 

10 years ago

Vijimambo

TRL YAPOKEA VICHWA 2 VYA TRENI TOKA AFRIKA KUSINI

 Vichwa viwili kati ya vichwa 13 vya treni vilivyonunuliwa na TRL Machi 21, 2015 tumeshuhudia tukio muhimu sana kwa TRL kupokea sehemu ya vichwa vipya vya treni vilivyoagizwa kutoka nje ya Nchi.  Tumepokea vichwa viwili (2) kati ya vichwa kumi na tatu (13) vya treni vilivyonunuliwa na TRL kupitia bajeti ya Serikali.


Vichwa hivi vimetengenezwa kupitia mkataba kati ya TRL na Kampuni ya EMD ya Marekani.  Utengenezaji wa vichwa hivi vya treni umefanyika na Kampuni ya DCD ya Afrika Kusini.
Ununuzi...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: TRL YAPOKEA Vichwa vya treni vipya viwili kutoka Afrika Kusini

 Vichwa viwili kati ya vichwa 13 vya treni vilivyonunuliwa na TRL 
Machi 21, 2015 tumeshuhudia tukio muhimu sana kwa TRL kupokea sehemu ya vichwa vipya vya treni vilivyoagizwa kutoka nje ya Nchi.  Tumepokea vichwa viwili (2) kati ya vichwa kumi na tatu (13) vya treni vilivyonunuliwa na TRL kupitia bajeti ya Serikali.


Vichwa hivi vimetengenezwa kupitia mkataba kati ya TRL na Kampuni ya EMD ya Marekani.  Utengenezaji wa vichwa hivi vya treni umefanyika na Kampuni ya DCD ya Afrika Kusini.


Ununuzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Safari za treni kuanza leo

KAMPUNI ya Reli Tanzania (TRL) imesema safari za treni ya abiria zilizosimama kutokana na reli kuharibiwa na mafuriko zitaanza leo. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Safari za treni kuanza tena Denmark

Usafiri wa treni nchini Denmark umejea tena baada ya hapo kusitishwa kwenda na kutoka Ujerumani baada ya kutokuelewana kati ya polisi na mamia ya wahamiaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani