TRL YASITISHA KWA MUDA SAFARI ZA TRENI YA BARA KUTOKANA NA MAFURIKO KATI YA MOROGORO NA DODOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GGezIkr_pnc/VofMAVFBl5I/AAAAAAAIP2s/rYarBwOUMu0/s72-c/r.jpg)
Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL umetangaza kusitisha kwa muda kuanzia jana Januari 01, 2016, huduma zake baada ya eneo la reli ya kati ya Kilosa mkoani Morogoro na Gulwe mkoani Dodoma tuta la reli kukumbwa na Mafuriko. Kwa mujibu wa taarifa za kifundi eneo lililoathiriwa na mafuriko ni kubwa hivyo Wahandisi na Mafundi wa TRL wako eneo la mafuriko kutathmini ukubwa wa kazi yenyewe. Kutokana na uamuzi huo treni ya abiria kutoka bara ilibidi safari yake ikatizwe ilipofika Dodoma na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-KUjOL8Qy3DU/VPnCAKiTivI/AAAAAAAHIC0/fLHMio3x0YE/s72-c/mot_03.jpg)
TRL YASITISHA SAFARI ZA TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA KUANZIA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-KUjOL8Qy3DU/VPnCAKiTivI/AAAAAAAHIC0/fLHMio3x0YE/s1600/mot_03.jpg)
Kwa mujibu wa taarifa hiyo Wahandisi na Mafundi wa TRL wako katika eneo la tukio wakifanya tathmini ya jinsi zoezi la ukarabati utakavyofanyika na kwa muda gani.
Ikifafanua zaidi taarifa imeeleza kuwa tathmini ya mafundi hao...
11 years ago
Mwananchi13 Jun
TRL yasitisha safari za treni kwa siku saba
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-34W8X8sIodE/U5dB_vWDqWI/AAAAAAAFpmM/tiyO0bRBvps/s72-c/TanzaniaTRCDar.jpg)
KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-34W8X8sIodE/U5dB_vWDqWI/AAAAAAAFpmM/tiyO0bRBvps/s1600/TanzaniaTRCDar.jpg)
Tokea asubuhi ya leo Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Mhandisi Kipallo Aman Kisamfu na Wahandisi waandamizi na Mafundi ujenzi walifika katika daraja hilo lililopo km 82/5 na...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-kHdFXIM5URA/U5gpKwRbVoI/AAAAAAAFpv4/9q7VMeEqLvE/s72-c/TanzaniaTRCDar.jpg)
UPDATES: KUHUSU KUAHIRISHWA KWA SAFARI YA TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA
![](http://1.bp.blogspot.com/-kHdFXIM5URA/U5gpKwRbVoI/AAAAAAAFpv4/9q7VMeEqLvE/s1600/TanzaniaTRCDar.jpg)
Hapo jana Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Mhandisi Kipallo Aman Kisamfu na Wahandisi waandamizi na Mafundi Mchundo Ujenzi walifika katika daraja hilo lililopo km 82/5 na kulifanyia tathmini ili kuona...
11 years ago
Habarileo12 Jun
Safari za treni TRL zasitishwa
UONGOZI wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) umesitisha safari za treni ya abiria kutokana na kutetereka kwa mojawapo ya madaraja katika Bonde la Mto Ruvu katika reli ya kati.
11 years ago
Habarileo20 Jun
Safari treni za TRL kuanza tena
TRENI ya abiria iendayo bara inatarajiwa kuanza tena huduma zake wiki ijayo baada ya kukamilika ukarabati wa daraja eneo la Bonde la Mto Ruvu, mkoani Pwani.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-SPGCZr2DBbY/VQxpHa7gh3I/AAAAAAAHLus/PdaCDPSakj0/s72-c/PHO-10Sep21-253577.jpg)
TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA KUANZA TENA SAFARI ZAKE MACHI 24, 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-SPGCZr2DBbY/VQxpHa7gh3I/AAAAAAAHLus/PdaCDPSakj0/s1600/PHO-10Sep21-253577.jpg)
Wananchi wanaotaka kusafiri wafike stesheni zilizo karibu yao kwa ajili ya kukata tiketi ya safari hiyo.
Huduma ya usafiri wa reli ilisitishwa wiki mbili zilizopita Machi 6, 2015 baada ya eneo la tuta la reli kati ya Stesheni za Kilosa na Kidete kukuharibiwa vibaya...
10 years ago
Michuzi25 Jul
TAARIFAKUHUSU KUAHIRISHWA SAFARI YA TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA HADI KESHO JIONI JULAI 25, 2015
Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kuwataarifu wananchi na abiria waliokuwa wasafiri na treni ya leo Ijumaa Julai 24, 2015 kutoka Dar es Salaam kwenda bara kuwa safari hiyo imeahirishwa hadi kesho saa 11 jioni. Kwa mujibu wa taarifa hiyo sababu za kuahirishwa safari hiyo ni ajali ya treni ya mizigo iliyotokea leo Ijumaa Julai 24, 2015 saa 8:15 alasiri maeneo ya Stesheni za Mazimbu –Mkata mkoani Morogoro ambapo ilihusisha mabehewa matano ya treni ya mizigo iliyokuwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qEMni6Z3hBE/VOUKOCZFJMI/AAAAAAAHEbQ/DsI15vPWE7c/s72-c/DSC07352.jpg)
ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-qEMni6Z3hBE/VOUKOCZFJMI/AAAAAAAHEbQ/DsI15vPWE7c/s1600/DSC07352.jpg)
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni kutofika katika stesheni ya Kigoma unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...