KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA
Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL unawataarifu abiria wote na wananchi kwa jumla kuwa kutokana na kutetereka kwa daraja la reli kati ya stesheni ya Ruvu na mchepuko wa reli ya Ruvu kwenda Mruazi usiku wa kuamkia leo, umeamua kusitisha kwa muda huduma ya usafiri wa abiria hadi ukarabati wa daraja utakapokamilika.
Tokea asubuhi ya leo Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Mhandisi Kipallo Aman Kisamfu na Wahandisi waandamizi na Mafundi ujenzi walifika katika daraja hilo lililopo km 82/5 na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziUPDATES: KUHUSU KUAHIRISHWA KWA SAFARI YA TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA
Hapo jana Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Mhandisi Kipallo Aman Kisamfu na Wahandisi waandamizi na Mafundi Mchundo Ujenzi walifika katika daraja hilo lililopo km 82/5 na kulifanyia tathmini ili kuona...
11 years ago
MichuziTaarifa ya KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KUANZIA KESHO JUNI 19, 2014
Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kuwataarifu wananchi na wateja wake wa huduma ya treni ya Jiji kuwa hiyo imesitishwa kwa muda wa siku 3 kuanzia kesho Juni 19, 2014 hadi Jumammosi Juni 21, 2014. Aidha huduma hiyo itaanza tena hapo Jumatatu Juni 23, 2014 kwa kufuata ratiba yake ya kawaida. Uamuzi huo unatokana na sababu za kiufundi ikiwemo kufanyiwa matengenezo vichwa vyote vya viwili ambavyo vimekuwa vikihudumia treni hiyo ya Jiji. Vichwa hivyo vinapaswa...
10 years ago
MichuziKUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KUANZIA JUMATANO FEBRUARI 25, 2015 HADI JUMATATU MACHI 02, 2015
Kwa mujibu wa taarifa ya Uongozi wa TRL iliotolewa jioni leo Februari 25, 2015 uamuzi wa kusitisha huduma hiyo umesababishwa na vichwa viwili vya treni hiyo kuharibika na kuhitaji matengenezo makubwa katika Karakana Kuu ya Morogoro .Taarifa imefafanua kuwa kwa vile kimebaki kichwa kimoja...
10 years ago
MichuziTRL YASITISHA SAFARI ZA TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA KUANZIA LEO
Kwa mujibu wa taarifa hiyo Wahandisi na Mafundi wa TRL wako katika eneo la tukio wakifanya tathmini ya jinsi zoezi la ukarabati utakavyofanyika na kwa muda gani.
Ikifafanua zaidi taarifa imeeleza kuwa tathmini ya mafundi hao...
10 years ago
MichuziTRENI YA ABIRIA KWENDA BARA KUANZA TENA SAFARI ZAKE MACHI 24, 2015
Wananchi wanaotaka kusafiri wafike stesheni zilizo karibu yao kwa ajili ya kukata tiketi ya safari hiyo.
Huduma ya usafiri wa reli ilisitishwa wiki mbili zilizopita Machi 6, 2015 baada ya eneo la tuta la reli kati ya Stesheni za Kilosa na Kidete kukuharibiwa vibaya...
10 years ago
Michuzi25 Jul
TAARIFAKUHUSU KUAHIRISHWA SAFARI YA TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA HADI KESHO JIONI JULAI 25, 2015
Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kuwataarifu wananchi na abiria waliokuwa wasafiri na treni ya leo Ijumaa Julai 24, 2015 kutoka Dar es Salaam kwenda bara kuwa safari hiyo imeahirishwa hadi kesho saa 11 jioni. Kwa mujibu wa taarifa hiyo sababu za kuahirishwa safari hiyo ni ajali ya treni ya mizigo iliyotokea leo Ijumaa Julai 24, 2015 saa 8:15 alasiri maeneo ya Stesheni za Mazimbu –Mkata mkoani Morogoro ambapo ilihusisha mabehewa matano ya treni ya mizigo iliyokuwa...
11 years ago
MichuziJUST IN: HUDUMA YA TRENI YA ABIRIA YA BARA KUANZA TENA JUMANNE JUNI 24, 2014
Halikadhalika muda wa kuondoka treni kwa siku za Jumanne na Ijumaa...
10 years ago
MichuziABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni kutofika katika stesheni ya Kigoma unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...
11 years ago
MichuziKUSITISHWA KWA HUDUMA YA TRENI YA JIJI HAPO JUMAMOSI NA JUMAPILI