Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. LOWASSA KUANZA "SAFARI YA MATUMAINI" MCHANA WA LEO

Gari iliyombeba Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa ikipita nje ya uwanja wa Sheih Amri Abeid, jijini Arusha mapema leo asubuhi wakati akielekea kwenye Ofisi za CCM Mkoa. Mh. Lowassa anatarajia kulihutubia taifa mchana wa leo kwenye uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid, ikiwa ni sehmu ya kutangaza kwake nia yake ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mtangaza nia ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SAFARI YA MATUMAINI YAMFIKISHA LOWASSA CHADEMA

Yametimia! Waziri Mkuu aliyejiuzulu katika wadhifa huo, Edward Lowassa, amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinachofungamana na vyama vinavyounda vuguvugu la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Je, hadhi ya kisiasa ya Lowassa itapanda na kuzidi kufikia ndoto za utumishi wake, ama atakuwa anaanguka kiasi cha kufikia hatua ya kusahaulika kwa jamii?

Kwa namna yoyote, hatua ya Lowassa kujiunga Chadema itachagiza kazi ya mageuzi ya kisiasa hasa katika kuelekea Uchaguzi...

 

11 years ago

Habarileo

Lowassa: Nimeanza safari yenye matumaini

Edward lowassaMBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa amesema ameanza safari yake jana yenye matumaini makubwa kwa Watanzania, lakini yenye vikwazo vingi, ingawa anasema ana uhakika wa kufika na kushinda.

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Safari ya matumaini bado inaendelea Monduli

Pg 1 coolNA FREDY AZZAH, MONDULI

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema safari ya matumaini ilianzia Monduli Mkoa wa Arusha na itaishia Monduli.

Kutokana na hali hiyo  amewataka wananchi wapendane kwa sababu kuna maisha baada ya uchaguzi.

Lowassa aliyasema hayo jana kwa nyakati tofauti kwenye mikutano yake ya kampeni   katika Jimbo la Monduli.

Akiwa Monduli mjini kwenye mkutano uliofanyika katika uwanja wa polisi ambako ndiko nyumbani kwake, Lowassa...

 

11 years ago

GPL

LOWASSA ATANGAZA KUANZA SAFARI

Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli ametangaza kuanza safari ya kutimiza ndoto zake. Sikiliza hotuba yake ya mwaka mpya 2014 hapo juu!

 

11 years ago

Tanzania Daima

Safari za treni kuanza leo

KAMPUNI ya Reli Tanzania (TRL) imesema safari za treni ya abiria zilizosimama kutokana na reli kuharibiwa na mafuriko zitaanza leo. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam,...

 

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LA NCHINI ABU DHABI LEO MCHANA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA MWL. JULIUS NYERERE (JNIA)

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka, akiteta jambo na Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu(United Arab Emirate) nchini Tanzania, Balozi Abdullah Ibrahim Al Suwaidi, kabla ya Uzinduzi wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana. Magari ya Zimamoto yakimwaga maji kuashiria uzinduzi na ukaribisho wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwl. Julius Nyerere...

 

10 years ago

Mwananchi

Vikwazo vipya safari ya matumaini

>Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana alichukua fomu za kuomba ridhaa ya Chadema kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano, lakini anakabiliana na vikwazo vinne kabla hajafanikiwa kuongoza upinzani kutwaa madaraka kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi.

 

10 years ago

GPL

SAFARI YA MATUMAINI YA LOWASA ARUSHA

Gari iliyombeba Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa ikipita nje ya uwanja wa Sheih Amri Abeid, jijini Arusha mapema leo asubuhi wakati akielekea kwenye ofisi za CCM mkoa wa Arusha. Lowassa akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea ofisi ya CCM mkoa wa Arusha. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Arusha, Ndg. Onesmo Ole Nangole.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani